Moshi wa bangi ukeni

Moshi wa bangi ukeni

Hahahahaaaaa! Umeona mbali mama maana wameona vidushe vinazidi kusinyaa wanasingizia bangi,kesho watakuja na jipya, khaaah! Inabidi mwaka ahamie upande wa pili maana ni shughuli!
Kiufupi unapenda mashine za heavy duty?
 
Nimeshangazwa sana na baadhi ya akina mama kumjia juu Dkt. Mwaka eti alikuwa anawapotosha kuhusu kuweka vitu mbalimbali ukeni ili wawe watamu, vitu kama sukari asali mchaichai n.k.

Imefika mahali wanawake tuache unafiki maana wenyewe ndo wakuu wa kudanganyana.

Makichen party kibao hapa mjini kwanza utakuta mashoga kibao yamealikwa halafu mafunzo yenyewe upuuzi mtupu, kuna huyu mama MC maarufu, hata kwenye ma TV yupo, siku hiyo anafundisha jinsi ya kuweka moshi wa bangi ukeni, huo ndo mambo yote eti halafu mkishindwa kuzaa mnamponda Dkt. Mwaka.

Simpendi Mwaka lakini mwacheni, mbaya wenu ni anaewauzia mibangi ya kuweka humo.

Wanaume msione wadada wazuri hivi wanavuta bangi huko chini vibaya.



Kwa hiyo ukipiga bao likanasa mimba na huo Moshi wa bangi si mtoto anazaliwa teja hivihivi
 
Niko kwenye kitchen party hapa naona sample ya bangi
Leo nawaletea video
 
JamiiForums1982326437.jpg
 
Bangi si ni dawa jamani? Na hata juzi bungeni kuna mbunge amependekeza ihalalishwe? Mbona mnaisema vibaya hivyo?
 
Kumbe uke nao unavuta bangi??ndo maana nikiingiza mashine inataka imesinzi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom