Moshi wa bangi ukeni

daah..! bora siri ziendelee kuvuja now tujifunze vingi sasa na sisi..
 
Mnalewesha tu Maku zenu mwisho zitakua chronic zitahitaji mchanganyiko wa bange mirungi plus cocaine, Afadhali maku za kimasai wale wapo org sana
 
HAPANA ASEE HATA SHETANI HILI ATAPINGA HAKUHUSIKA KABISA TZ YA VIWANGA KWELI TUTAFIKA ? K inakula shabu ?
 
Kwa njia hiyo wataacha kuzaa vichaa kweli? Kama kipochi manyoya kinafukizwa bangi tutegemee nini?
 
Tatizo ni uelewa tu.

Bangi nnaitumia sana kuichanganya na al-oud kupata scent ya kipekee.

Zaidi ya miaka 38 sasa nafanya hivyo.

Mbona manukato mengi sana harufu (extract) ya bangi ni ingredient muhimu sana.
 
Tatizo ni uelewa tu.

Bangi nnaitumia sana kuichanganya na al-oud kupata scent ya kipekee.

Zaidi ya miaka 38 sasa nafanya hivyo.

Mbona manukato mengi sana harufu (extract) ya bangi ni ingredient muhimu sana.

Okay, basi watu waombe ujuzi kutoka kwako, ninaamini utawasaidia.

Na vipi haina madhara kwa mtumiaji hasa akiamua kwenda chumvini?
 
Sigara kubwa kumbe inatumika kwa njia nyingi[emoji23] [emoji23]
 
Hii kwangu ni news!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…