kumbe !!!! Dushe lina test buds kama za ulimi za kuhisi sukari, asali nk?nimeshangazwa sana na baadhi ya akina mama kumjia juu dkt. Mwaka eti alikuwa anawapotosha kuhusu kuweka vitu mbalimbali ukeni ili wawe watamu
vitu kama sukari asali mchaichai nk.
imefika mahali wanawake tuache unafiki maana wenyewe ndo wakuu wa kudanganyana.
Makichen party kibao hapa mjini kwanza utakuta mashoga kibao yamealikwa halafu mafunzo yenyewe upuuzi mtupu, kuna huyu mama mc maarufu hata kwenye matv yupo siku hiyo anafundisha jinsi ya kuweka moshi wa bangi ukeni huo ndo mambo yote eti halafu mkishindwa kuzaa mnamponda dkt. Mwaka.
Simpendi mwaka lakini mwacheni, mbaya wenu ni anaewauzia mibangi ya kuweka humo.
Wanaume msione wadada wazuri hivi wanavuta bangi huko chini vibaya.
Nimeshangazwa sana na baadhi ya akina mama kumjia juu Dkt. Mwaka eti alikuwa anawapotosha kuhusu kuweka vitu mbalimbali ukeni ili wawe watamu
vitu kama sukari asali mchaichai nk.
Imefika mahali wanawake tuache unafiki maana wenyewe ndo wakuu wa kudanganyana.
Makichen party kibao hapa mjini kwanza utakuta mashoga kibao yamealikwa halafu mafunzo yenyewe upuuzi mtupu, kuna huyu mama mc maarufu hata kwenye matv yupo siku hiyo anafundisha jinsi ya kuweka moshi wa bangi ukeni huo ndo mambo yote eti halafu mkishindwa kuzaa mnamponda Dkt. Mwaka.
Simpendi Mwaka lakini mwacheni, mbaya wenu ni anaewauzia mibangi ya kuweka humo.
Wanaume msione wadada wazuri hivi wanavuta bangi huko chini vibaya.
msalimie mwanamke umpendaye
Bhuahahahaha iyo bangi inawekwaje Uko chini?
Mwanao Hajambo lakini
sema wanao, sio mwanao. wanangu wote wazima,
Vipi huna Mtoto wa Kike ??
first born ni wa kike, unahitaji nikuozeshe?
Jamani mbona kaaz!!! Haya tuambie huo moshi waingizwaje humo? Mambo mengine hata MziziMkavu si rahisi akufundishe hayo dah!
Wewe ulikua wa maggot kwahiyo bange na wewe ni ndugu..mMwaka haelewi na watumiaji hawaelewi, miaka takriban mitano nyuma nilielezea namna nitumiavyo bangi kwa manukato. Hususan katika kuichanganya na oud na kujifukiza.