Moshi wa bangi ukeni

Moshi wa bangi ukeni

acha mkuu uliza uambiwe

natafuta;
Niulize nini tena mkuu kuliko hili kuwa huo moshi waingizwaje mle! Au miye mgeni wa hayo masehemu mkuu? Njuavyo miye, moshi waweza kutokea puani lakini kutokea huko pahala kwangu mapya haya
 
sio bangi tuu huku kwetu! kuna akina dada wananawa ukeni kwa kitumia pombe aina ya gongo au konyagi.
 
Wanajifukizaga moshi wa bangi ili wanukie kama udi vile na sio kuiingiza maeneo yao
 
Wanawake wanapotea na kuharibikiwa kwa kuwa wamekosa viongozi wa kuwachunga....na hata hao waliobahatika kupata hao viongozi hawataki kuongozwa......wanataka usawa......wanataka wawe huru kufanya kile wanachojisikia.....hawataki kuambiwa kuwa hiyo njia unayoenda siyo.....wanasema wanaweza.......
Na hizi ni moja kati ya sababu nyingi zinazoonyesha kuwa wanawake akili zao zina mushkeli....kwa kuwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya upuuzi kama huo.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom