Moshi VS Tanga...!


Nafurahi kuskia taarifa nilizokuwa sizifahamu kutoka kwa mwanawe kuwa MAMA YAKO ni mvivu kote kote, MCHAWI, MSHIRIKINA na anapenda VIGOMA kila kukicha, nilikuwa sijui kama yuko hivi aisee. Ahsante.
 
Hahahaaa. Lol.

Binamu naona Mkuu kamwaga maneno mpaka kasahau kama Mama yake katokea huko. 🤣🤣🤣

Yaaaaani acha tu binamu yangu naona anaruka ruka tu kama maharage yanayochemka mwenzangu. Lol.

😍😜😍
 
Sifa za Mama yako ni tofauti na ulizozitaja hapa ?
 
Sifa za Mama yako ni tofauti na ulizozitaja hapa ?

Bora umenisaidia kuuliza kiongozi naona kakimbia kabisa hata jibu ameshindwa kulitoa...!

🤣🤣🤣
 
Sifa za Mama yako ni tofauti na ulizozitaja hapa ?

Babab yake alikuwa na wake wawili, kwa hio bi mkubwa hakukulia sana huko

Sisemi sifa za watanga wote ziko hivyo, nimezungumza kutokana navyoona upande wa huko walivyo katika familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…