Moshi Technical School thread

Mkwawa Dorm 25..... wacha kabisa!! Tunawahi magazeti kwa Ugegede pale au kama vipi kuiba nyuka!!
 
Ndo hiyo hiyo 'old moshi high school' au n tofauti kwa wanaojua nielewesheni.
 
mods jf wamelala zinaanzisha uzi mpya za moshi tech haziunganishwi humu

cc Invisible amka
 
Mkwawa Dorm 25..... wacha kabisa!! Tunawahi magazeti kwa Ugegede pale au kama vipi kuiba nyuka!!
mkuu kumbe nawe ni Tech boy? mzee ugegede alikuwepo by the time namaliza pale, nilikuwa Mkwawa form 1 and 2 then nikaenda kuwa house Captain Lumumba... nilikuwa MTS miaka ya 90's kati to mwishoni...Mpande naskia amestaafu...enzi zile ukitwa TYL utaisoma number...Mambo ya kuzamia Zenji nayakumbuka kichizi...
 
kumbe mo tech inawatu wengi humu,,,mzee ugegede kastaafu bana
 
ana matatizo binafsi
Umeona ee! Hizi shule za zamani moshi tech, kibaha, pugu, minaki, ilboru nk ndo zimetoa viongozi wengi japo mwonekano wake uko kama mabanda ya kuku, wengine hatushangai ndo zimetusaidia
 
Umeona ee! Hizi shule za zamani moshi tech, kibaha, pugu, minaki, ilboru nk ndo zimetoa viongozi wengi japo mwonekano wake uko kama mabanda ya kuku, wengine hatushangai ndo zimetusaidia
mkuu samahani...wewe ni Zogolo? samahani kama nimeanika identity yako mkuu
 
Yeah... mi ni MTS man... (sio boy tena). Nilipita pale miaka ya nyuma kidogo, shule inasikitisha kwa kuchakaa. Enzi za headmaster Malale na secondmaster Kasenge sidhani kama wangeruhusu uchakavu huu utokee. Wale Jamaa wa DANIDA sijui kama bado wapo...
 
Danida wapo mkuu Malale nilimkuta kondoka na head master alikuwa Kimario, then akaja Isack Malisa...nilimwacha Malisa pale. Tulikuwa class Moja na mtoto wa Malale.

Shule imechoka sana hasa zile workshops...ulikuwa Unga gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…