Moshi Technical School thread

Yaani imekuwa ya ngapi katika matokeo ya formsix

Ya kwanza katika kutoa wanafunzi wenye uwezo kwa kujiajiri pasipo kuitafuta Elimu ya juu.

Pia ni ya kwanza kutoa wanafunzi wenye uwezo haswa na sio kama wale wanaotafuniwa na waalimu wao.
Ya kwanza kutoa wanafunzi wanaofanya vizuri kwenye vyuo mnavyojisifia kwa ubora( Hii shule huwatoa hao wanaozipa sifa hizo college zenu).

Ya kwanza kutoa wajenzi haswa wa taifa hili( Tafuta kwa google).

Ya kwanza kutoa wanafunzi wenye uwezo wa juu kuchanganua na kukabiliana na maana nzima ya maisha ya kutafuta.
uliza kingine....mpenda ligi zisizo na msingi.
 
mkuu hujajibu swali imekuwa nafasi ya ngapi kitaifa? mfano taboraboys mwaka2012 imekuwa ya nane,kibaha ya 4,
hii kwa sasa sio shule kabisa mbovu inachukua mpaka iii.25 wanafunzi wabovu,,,
 
hii shule kwa sasa ni chaka la vilaza sijawahi kuiona hata kwenye nafasi 20 kitaifa, shule imelala,wanafunzi wamelala
 
mkuu hujajibu swali imekuwa nafasi ya ngapi kitaifa? mfano taboraboys mwaka2012 imekuwa ya nane,kibaha ya 4,
hii kwa sasa sio shule kabisa mbovu inachukua mpaka iii.25 wanafunzi wabovu,,,

Kijana.......kijanaaaaa amka fanya tafiti siyo mnakuja shadadia mada hapa jf,nimesoma na hao mnaowaita vilaza,nimekula nao nimelala nao na wengine tumewekana mjini hadi hii leo.....

Hivi ushawahi jipa muda wa kuitembelea hiyo shule,umewahi shiriki ktk majadiliano na wanafunzi wa hiyo shule?

Acha ngebe kijana.

Kumbuka hakuna shule bora,ila kuna WANAFUNZI BORA.
 
MKuu shule bora zipo ambazo ni mzumbe,kibaha,taboraboys,kilakala,taboragirls,msalato,marian,feza bhaaas
 
Duh.... Umenikumbusha mbali sana!

Nilisoma shule hiyo, nikiwa Azimio House, Dorm 1
 
Head master wa sasa ni mzuri sana,anafundisha math form six na pia anafuatilia sana maendeleo ya kila mwanafunzi pamoja na ufundishaji wa waalimu.lazima tutafaulu tu tena vizuri
 
Head master wa sasa ni mzuri sana,anafundisha math form six na pia anafuatilia sana maendeleo ya kila mwanafunzi pamoja na ufundishaji wa waalimu.lazima tutafaulu tu tena vizuri

unamfahamu ticha koba
 
MKuu shule bora zipo ambazo ni mzumbe,kibaha,taboraboys,kilakala,taboragirls,msalato,marian,feza bhaaas

kausha basi, kwan kila mwanafunzi ataenda huko kwenye hizo shule ulizotaja? na pia sio kweli kwamba wanaenda vilaza, mbona mm mdogo wangu kaenda hapo na I ya 17
 
hahahahaha mmenkumbuxha mbali xana nmekaa pale mkwawa 27 bwen zur kuliko lote pale teki mim ni 4m4 leaver wa 2013 dah pa1 xana wanateki
 
well me nilischool same sec pale ,,, jembe jumanne bosco mtemi lilitokea pale!
 
hahahahaha mmenkumbuxha mbali xana nmekaa pale mkwawa 27 bwen zur kuliko lote pale teki mim ni 4m4 leaver wa 2013 dah pa1 xana wanateki

Ha ha haaa!kKaka bweni zuri MTS kwa wavulana ni Lumumba bweni la wastaarabu,Mkwawa mnachafua sana pozii.Lumumba dorm 14 ndo makao.
 
Mimi nilikuwa nakaa Karume Dorm 33,je Mzee Ugedede bado yupo?Najua Mwalimu Daffa amefariki!Kitambo sana!Nilisoma O-level!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Amefariki lini huyu mtu??

RIP Daffa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…