Moshi Technical School thread

Du kumbe mosh tech kwa sasa kuna madem wanasoma? mazingira pia ni kweli sio mazur ? kwa hiyo ni jina tu inaibeba? Wakuu ushauri wenu hiyo shule ni nzuri kwa comb ya pcb kwa tunaotajia kwenda hivi karibuni?

ndo unajiandaa nn
 

Mimi nilimaliza hapo PCM 2005, namkumbuka Babu SHAO-PHYSICS, BABU KOOLA-CHEMISRTY, MPAnde Fundi rangi na vijana, MALISA HEadmaster, NKYA (yule mwalimu mwenye pikipik mke wake alikuwa Matron), Babu mmoja wa computer alikuwa anamiliki chuo cha ufundi alikuwa akikesha na miwani yake kwenye computer LAB, yule mwalimu wa Eng. Science alikuwa mlemavu wa mguu, Dada Asha wa Mgahawani, mmama mmoja(Bibi) wa LIBRARY, wale wapishi wa uji wa saa 12 asubuhi saa4 na kuendelea. Second masters mmoja alikuwa mpole(marehemu now) Academic mmoja alikuwa mwana riadha mke wake alikuwa Headmistress wa Mawezi nasikia now Kilakala na mume wake alimfwata huko Morogoro now yupo Moro Sec. Na wengine wengi tu ila nimewasahau Majina.
 
Du kumbe mosh tech kwa sasa kuna madem wanasoma? mazingira pia ni kweli sio mazur ? kwa hiyo ni jina tu inaibeba? Wakuu ushauri wenu hiyo shule ni nzuri kwa comb ya pcb kwa tunaotajia kwenda hivi karibuni?

njoo uione motech mpya mwenyewe utanikuta karume,drm 31
 
njoo uione motech mpya mwenyewe utanikuta karume,drm 31

Poa mkuu lakini kwanini mnakuwa sio wa wazi nije nijionee mosh tech mpya hapo nakua sielew kidogo unamaana yenye waalimu wa kutosha, mazingira mazuri, vifaa vya kutosha kama vitabu na n.k o the vice versa is true? lakin poa mkuu
 
Daah! Long time sana wadau! mimi nimemaliza pale 2007 O-Level! nilikuwa nakaa AZIMIO DORM 5, nikaja nikahamia 4, Haikutosha nikahamia dorm 9! mishe hazikumalizikia pale mwisho wa siku nikahamia MKWAWA DORM 24 coz AZIMIO ilikuwa mbali sana na DH!!

Namkumbuka sana MPANDE, ila alikuwa ananiboa sana kwa upande wa mchaka mchaka!

Namkumbuka sana Mwl. KOBA (Mhina) alikuwa na matango balaa!!

Nikihamia upande wa jikoni sitafanya vizuri kama sitamtaja Mzee UGEGEDE!!!!! Hahahahahahahaaa!!!

NITAMALIZIA NA KIBAO HIKI KAMA MWAKIKUMBUKA

Shule yetu ufundi Mungu ibariki,
bariki wanafunzi nao walimu,
(tupate amani, upendo umoja,
ushirikiano na udumu) X2

...........................................
AHSANTENI SANA WADAU....:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
 

Sie malisa aliondoka tkiwa form 6,tkaletewa aliekuwa Bwiru japo shule ilimshnda.
 
Kuna Mwalimu Nkya na Futa walikuwa walimu wa taaluma!Nkya alikuwa mbabe sana!Kibosho road kwenye mbege na kwa Mjapan kwa Mama muuza samaki!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Huyo Nkya mbabe sana
 
Mimi nilimaliza O-level 2001 hapo Mkuu!!Vimbuzi bado vipo?Vipi bado watu wanaenda Shili-matunda?Raha sana Mkuu!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Me mwenyewe nimekaa dom 5,ila nilikpga A level pale
 
Mimi nilimaliza O-level 2001 hapo Mkuu!!Vimbuzi bado vipo?Vipi bado watu wanaenda Shili-matunda?Raha sana Mkuu!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

vimbuzi kama kawaida,ila huko pengine sijakuelewa,mbishi nkya kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…