UruSio Marangu hapa!? Minima. Mori!??
Siyo Marangu. Maporomoko ya Marangu siyo makubwa kiasi hicho. Huko Ni Uru Materuni.Sio Marangu hapa!? Minima. Mori!??
Siyo Marangu. Maporomoko ya Marangu siyo makubwa kiasi hicho. Huko Ni Uru Materuni.
Na hakuna mwenye kwake kubaya,wote kwetu kuzuri.daah kwetu kilimanjaro pazuri sana,ila wiki iliyopita nilikuwa kwa ndugu zangu wasambaa,lushoto kuzuri sana panavutia mno
hahahah poa mkuu,ila kumbuka wengine wanaogopa kutaja kwaoNa hakuna mwenye kwake kubaya,wote kwetu kuzuri.
Usijari mkuu,mimi kwangu ni Nangulukulu road kabisa basi zinazoenda Lindi na Mtwara sisi ndio tunawauzia chakula hapa.hahahah poa mkuu,ila kumbuka wengine wanaogopa kutaja kwao