David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,784
- 9,297
poa mkuu nitakuja kutembea na uko nile samaki nchangaUsijari mkuu,mimi kwangu ni Nangulukulu road kabisa basi zinazoenda Lindi na Mtwara sisi ndio tunawauzia chakula hapa.
poa mkuu nitakuja kutembea na uko nile samaki nchangaUsijari mkuu,mimi kwangu ni Nangulukulu road kabisa basi zinazoenda Lindi na Mtwara sisi ndio tunawauzia chakula hapa.
poa mkuu nitakuja kutembea na uko nile samaki nchanga
kilwa kivinje,kilwa kipatimo,kilwa masoko niitakuja kutembelea miji ya kihistoriaHii ni wilaya ya Kilwa mkoa wa Lindi,kwa hiyo kutoka hapa kwenda huko ni afadhari uende Dar karibu kuliko kwenda huko ni mbali sana.
Ulaya .
Arusha na Kilimanjaro ni Ulaya ya Tanzania..