Thubutuuuuu.alipata C tu
Hiyo D aliipata kwa vile wasahihishaji walilewa sana wakati wanasahihisha. Alitakiwa kupata flag.Thubutuuuuu.
Ana huo uwezo sasa wa kupata C.
Alipata D kama dawa vile.
Hujaandamana??? D25 veeeeepe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Moshi ni kama Ulaya tu nenda uchagani na upareni kule Usangi uone maendeleo
Nenda chuga uone
Watu wa kaskazini maendeleo hayakuletwa na hizo serikali zenu haramu
Sisi hatuongozwi kizembe na mtu kutoka Zanzibar aliyefeli masomo yote form 4 kasoro kiswahili ndo alipata C tu.
Sisi ndo kaskazini bwana, we are proud huyo mamaenu hatumtambui
Hebu niendelee kulewa mimi
Hawa ni wale waandamanaji wa mtandaoni.Hujaandamana??? D25 veeeeepe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawa ni wale waandamanaji wa mtandaoni.
View attachment 3520439
Hakuna mtu anataka tena ule ujinga wa kuandamana
CCM HOYEE....!!Hujaandamana??? D25 veeeeepe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣