IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,184
- 7,819
Wameishiwa mbinu za kuja na kodi mpya, wamebaki kuhangaika na ya zamani tuu...Yale yale ,Waziri anasema hivi watendaji wanafanya hivi.
Kulikuwa na ulazima gani wa kuja kuvamia club? Kwanini wasingewaita hao wamiliki waende kuzungumza ofisini asubuhi?