JMF
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 1,735
- 2,686
Mkuu umeongea point sana. Sintakaa niwasahau TRA asilani. Walinifilisi ka grocery kangu chenye mtaji wa laki2 kwakunipiga faini ya laki9. Kwanza walikuja maafisa biashara wa manispaa wakanipiga faini ya laki mbili na arobaini wakidai kuwa kwakuwa watu wananywea hapo hiyo ni bar. Nikauza kila kilichowezekana nikaachiwa. Sijakaa sawa wakaja watu wa afya wakala hamsini. Baadae wakaja tra ndo nikauza hadi kreti tupu na nduguzangu kunichangia kulipa nikarudi barabarani kuuza urembo. Ila nilipigwa fitna na jirani yangu aliyekuwa na bar kubwa jirani.