Moshi imebadilika sana

Moshi imebadilika sana

Nashukuru wote mlionipokea hapo Moshi December,kwa kweli nilijidai sana na wageni wangu walifurahi sana baada ya kula mtori na gali nyama choma vitu ambavyo havipo kabisa mitaa hii!!!

Kilichonishangaza ni jinsi mji wa Moshi ulivyobadilika sana sana,kwa kweli nilipoondoka niliacha maduka karibu yote makubwa yanaendeshwa na Wahindi,kusema kweli sikuona Mhindi hata mmoja,sijui wako wapi,,wamekimbia competition??]

Nimeshangaa kuona msururu wa magari na kuna traffic kubwa ya magari kitu ambacho hakikuwepo,pale soku kuu Moshi zamani tulikuwa tunapita na speed ya 120 lakini sasa hivi kutoka soko kuu kwenda stand ya mabasi utatumia dakika 20 na gari jambo la kushangaza sana

Vilevile tulishangaa kuona jinsi watu wa Moshi walivyobadilika na kutumia magari yao kwenda nyumbani,tulitoka moshi tarehe 23 kwenda dar,tulipishana na magari binafsi sio mabasi kuanzia Moshi mpaka Dar,magari mengi sana kitu ambacho hakikuwepo,
naona watanzania wameamka sana sasa hivi,hongereni sana wandugu.

Hapo kwenye nyekundu, wewe na mh Jakaya Kikwete munamitazamo sawa ktk hilo swala ie ni maendeleo kumiliki miguu mi4
 
Kwa ukabila uliojaa uchagani si muhindi tu hakuna mtu yeyote atakayeweza atakayeweza kushindana na akashinda

kweli bana si ndo mana mapato ya mlima kilimanjaro tunalilia yabaki yote hapa klm afu mtwara wanatalilia ges yao yote ipelekwe dar,. Maccm bwana!!
 
Wewe usiifananishe Moshi uliyoiona December na Moshi ya kawaida. Hizo trafic jam ulizoziona ni kwa sababu ya tabia ya Wachaga kukimbilia Moshi december. Ukitaka kuijua Moshi vizuri itembelee kuanzia February, baada ya Hijja ya Wachaga. Wahindi bado wapo ingawa wamepungua, pita double road kama unaenda soko la kati ndio utawaona vizuri, na barabara ya Hindu Mandal wamejazana mbaya.
Mji ushaanza kutulia sasa hivi hakuna cha jam na Wahindi wako bize na maduka yao.

Karibu tena Mo- Town![/QUOTE
uzuri wa mji siyo trafic jam,lakini ukweli utabaki palepale mji mzuri kabisa tanzania ni mioshi,ikifatiwa kwa mbali kabisa na iringa,jamni shule ya ukweli old moshi ipo nimetoka mianga mingi sana, au imeshaungua,ofkoz nimeplan kuja april kuchukua kacheti kangu ka ALEVEL pale old school,najua nitaenjoy sana.
 
Kuna mitanzania mingine ina wivu wa kike.
Source: Benjamin William Mkapa. kumbe ni Pius Msekwa Du sorry sana na kwa wakerewe
Hivi ile Gas ya Mtwara kelel zake zimeishaje bila kumsikia huyu Mkapa aua kwa vile kaoa kwa kina Minde pale Uru na kujenga Lushoto?
Sasa WaTz wasilalamike km barabara haziendi huko kusini, wanatakiwa juhudi binafsi hasa za kupaendeleza kiuchumi na kisiasa wasitegemee tena misaada hata ya akili kwani wachagga kuacha kutumia mabasi na kwenda na gari ndogo hawakuanza karne hii
 
Wahindi hawana ubavu wa kushindana na mchaga hata kidogo ingawa wafanyabiashara wengi wa Moshi hawajasoma lia kwenye mambo ya pesa wana PHD.
Wahindi walikuwa wanalipa kodi 40000/= kwa mwezi chumba cha biashara ila mchaga anaenda shirika la nyumba anawaambia atalipa Laki 3 kwa mwezi wamtimue muhindi halafu achukue hicho chumba.
ndio maana wahindi wameisha double road Moshi, maduka yote ni wachaga tu.
Utakuwa hujautendea haki mji pamoja na wanaoishi humo kama hutataja hatua kubwa iliyofikiwa katika hali ya USAFI kwa ujumla,kwa kweli ni mji ambao inapaswa watanzania wakajifunze namna ya ustaarabu wa kulinda mji kwa USAFI kwani ndiyo mji pekee hutapata kuona vyocha za simu ama chupa tupu za maji achilia mbali vifungashio vya pombe za plastic zikiwa zimetapakaa ovyo,ukipatikana unatupa hovyo vocha ya simu ama chupa ulonywea maji faini ni elfu 50 na hiyo haina hongo kupitia hivyo wananchi wamejifunza na kufaulu somo la kutunza mazingira.HONGERA WACHAGHA HONGERA MOSHI.
 
Kwa ukabila uliojaa uchagani si muhindi tu hakuna mtu yeyote atakayeweza atakayeweza kushindana na akashinda

yap tatizo alienda dec nenda miez mingin kumbe huyu jamaa mshamba wa magar life la mosh tite mmekimbia wote
 
chezea moshi weweeeeeeee,chezea mchagga weweeeeeeeeeee,utawaweza?,hawana muda wa kugombana na mtu hata wakipelekwa polisi wanamwambia mpelelezi wa kesi mangi unataka pesa ngapi tumalise hii mambo?,

akijishebedua anapanda wa OCS,naye akileta nyodo anayanyua waya kwa IGP Said Mwema,kitakachotokea ni RPC anapokea simu toka kwa msaidizi wa IGP,anaambiwa kuna mtu atakuja hapo ofisini kwako ameekekezwa na afande IPG,kumbe ni yule yule wa muda ule ule,jamaa hawana muda wa kwenda mahakamani zaidi ya kutafuta pesa kwa maana hiyo mhindi hawezi kushindana na hawa vijana wa kichagaa ambao wengi wao ni mishenitown lakini mambo yao si mchezo.
 
yap tatizo alienda dec nenda miez mingin kumbe huyu jamaa mshamba wa magar life la mosh tite mmekimbia wote

Hahahaa upo sahihi hamna sehemu ngumu kama moshi m telling you.. Mzunguko wa ela upo kidogo sana..mwezi wa neema ni wa 12 tuu.
 
Kwa ukabila uliojaa uchagani si muhindi tu hakuna mtu yeyote atakayeweza atakayeweza kushindana na akashinda

na hivi ulivyo kupe, kipande hicho hakuna wa kumnyonya maana inaelekea unapenda vya bure. kule ni mzigo tu, hakuna kuiba, wala kuchora. wewe umewaona mafisadi wakijipendekeza huko, hakuna upenyo- kazi kazi tu
 
Wewe
usiifananishe Moshi uliyoiona December na Moshi ya kawaida. Hizo trafic
jam ulizoziona ni kwa sababu ya tabia ya Wachaga kukimbilia Moshi
december. Ukitaka kuijua Moshi vizuri itembelee kuanzia February, baada
ya Hijja ya Wachaga. Wahindi bado wapo ingawa wamepungua, pita double
road kama unaenda soko la kati ndio utawaona vizuri, na barabara ya
Hindu Mandal wamejazana mbaya.
Mji ushaanza kutulia sasa hivi hakuna cha jam na Wahindi wako bize na
maduka yao.

Karibu tena Mo- Town![/QUOTE
uzuri wa mji siyo trafic jam,lakini ukweli utabaki palepale mji mzuri
kabisa tanzania ni mioshi,ikifatiwa kwa mbali kabisa na iringa,jamni
shule ya ukweli old moshi ipo nimetoka mianga mingi sana, au
imeshaungua,ofkoz nimeplan kuja april kuchukua kacheti kangu ka ALEVEL
pale old school,najua nitaenjoy sana.
kaka mi nilienda old moshi ipo mi nimemaliza 98 ila kashule now kamechoka kiaina
 
Moshi inaelekea kuwa jiji kwa siku za karibuni hivyo ukipata likizo ya miaka miwili kwa sababu najua unafanya kazi kwa mtu ndo uruhusiwe ni miaka miwili so ukifika utastaajabu sana kuliko hivi sasa kwani mpango wa mataa lami uboreshaji wa stand kuu maji taka nk
 
Kwa ukabila uliojaa uchagani si muhindi tu hakuna mtu yeyote atakayeweza atakayeweza kushindana na akashinda

acha chuki! wivu mzuri ni ule unaoendana na jitihada za kupenda kufanya vizuri kama aliye juu yako na si kumzushia uwongo na kumpiga vita!! leo mimi wewe ni kesho.
 
na hivi ulivyo kupe, kipande hicho hakuna wa kumnyonya maana inaelekea unapenda vya bure. kule ni mzigo tu, hakuna kuiba, wala kuchora. wewe umewaona mafisadi wakijipendekeza huko, hakuna upenyo- kazi kazi tu

achana nae huyo, inawezekana alipigwa kibuti na mrembo wa kichagga.
 
Nashukuru wote mlionipokea hapo Moshi December,kwa kweli nilijidai sana na wageni wangu walifurahi sana baada ya kula mtori na gali nyama choma vitu ambavyo havipo kabisa mitaa hii!!!

Kilichonishangaza ni jinsi mji wa Moshi ulivyobadilika sana sana,kwa kweli nilipoondoka niliacha maduka karibu yote makubwa yanaendeshwa na Wahindi,kusema kweli sikuona Mhindi hata mmoja,sijui wako wapi,,wamekimbia competition??]

Nimeshangaa kuona msururu wa magari na kuna traffic kubwa ya magari kitu ambacho hakikuwepo,pale soku kuu Moshi zamani tulikuwa tunapita na speed ya 120 lakini sasa hivi kutoka soko kuu kwenda stand ya mabasi utatumia dakika 20 na gari jambo la kushangaza sana

Vilevile tulishangaa kuona jinsi watu wa Moshi walivyobadilika na kutumia magari yao kwenda nyumbani,tulitoka moshi tarehe 23 kwenda dar,tulipishana na magari binafsi sio mabasi kuanzia Moshi mpaka Dar,magari mengi sana kitu ambacho hakikuwepo,
naona watanzania wameamka sana sasa hivi,hongereni sana wandugu.

where have you been?karibu tanzania
 
Hahahaa upo sahihi hamna sehemu ngumu kama moshi m telling you.. Mzunguko wa ela upo kidogo sana..mwezi wa neema ni wa 12 tuu.

Aisee ndugu yangu maisha ya Moshi si lelemama. Huyu jamaa amefika wakati wa sherehe. Mimi nilikimbia huko mwaka 2006 kwa kuwa maisha ni magumu. Tunaita Mjiwa Wagumu. Maisha ni magumu kwa kuwa; moja uchumi, wa karibu na mlima uliyokuwa unategemea kahawa, umeyumba ile mbaya, hata kufanya wazee wetu kuamua kulima mahindi na migomba. Kwa bahati mbaya zaidi, kadiri ya tamaduni, ndizi ni mali ya mama na kahawa (iliyokufa) ni mali ya baba.
Pili, uchumi wa uwanda wa chini umeangamia baada ya ule mradi wa mpunga wa Lower Moshi Irrigation Scheme kufa kutokana na ukosefu wa maji.
Hivi sasa naomba Mungu mambo yangu yaimarike ili biashara iimarike kidogo, kisha nimwite dogo aje kusimamia. Nyumbani ni nyumbani, na nitajitahidi kuwaona mwezi Desemba wazee kadiri ya uchumi utakavyoruhusu.
 
Suala ni ukabila au uwezo wa biashara? Wapi imekatazwa Kupe akiwepo na Ndorobo asiwepo!
Dar walivyojaa wachaga nao ni ukabila?
 
Back
Top Bottom