Moscow yashambuliwa kwa drones, Ukraine yahusishwa

Moscow yashambuliwa kwa drones, Ukraine yahusishwa



Huyu Zelenesk kweli comedy hebu opening alicho piga afu asubiri kipigo sasa.

Yani kweli muigizaji film lazima aonyeshe ka acting sa kupiga hilo jumba gorofa tena kavunja tu vio afu anajisifu nimepiga Moscow [emoji23]
Hii comment yako inaonesha milipuko kwa Urusi ni jambo la kawaida tu , so Urusi haina tofauti na Somalia
 
Always manufacturing lame excuses in your vain efforts zakutaka kuzunga Dunia kwamba USA is different, cha muhimu hapa ni, je, USA aliwahi. kushambuliwa vibaya sana au la? Mambo ya kusema scenario zilikuwa. tofauti ni immaterial.
Kama Suala lako ni kuwalinganisha Moscow vs USA hiyo haikuwa nia ya hoja yangu. Hoja yangu ni kuhusu Ukraine na Urusi boss.
 
Back
Top Bottom