Upo sahihi kabisa mdau,tatizo la Morrison ni kujishuku mwenyewe na inaonekana ana kinyongo na watu na hichi kinyongo nadhan kinatokana na mwenendo wa kiwango chake hivi karibuni ya kuanzia bench mara nyingi,so anaona kwamba kuna watu hawamtendei wema that is why akaamua ajilipue kwa kuonyesha ishara ile,mie naona hayupo sahihi, ata kama mashabiki wa Simba wanavyomtetea kwamba kile kitendo alichoonyesha ni "maisha binafsi" lakini wajue kwamba sio ishara nzuri kwa mchezaji wao na tena akiwa amevalia jezi kabisa ya timu yao.Kuna mchezaj alikuwa anakejeliwa na kuombea mabaya Kama Onyango?, vipi mbona saivi mashabiki wametulia na hawamkejeli tena?, sehemu sahihi ya kuwajibu mashabiki ni uwanjani...
Hata Messi & Ronaldo wanatukanwa na kuchukiwa, vipi washawah kuwaonyesha kidole mashabiki wanaowachukia
Morrison anataka kushndana na mashabiki na hicho ndo kinamponza
Mm nampenda lakini alichokifanya si kitendo cha kiungwanaWewe unamchukia au unampenda? Tuanzie hapo kwanza.
Nategemea hata Simba watampiga adhabuUpo sahihi kabisa mdau,tatizo la Morrison ni kujishuku mwenyewe na inaonekana ana kinyongo na watu na hichi kinyongo nadhan kinatokana na mwenendo wa kiwango chake hivi karibuni ya kuanzia bench mara nyingi,so anaona kwamba kuna watu hawamtendei wema that is why akaamua ajilipue kwa kuonyesha ishara ile,mie naona hayupo sahihi, ata kama mashabiki wa Simba wanavyomtetea kwamba kile kitendo alichoonyesha ni "maisha binafsi" lakini wajue kwamba sio ishara nzuri kwa mchezaji wao na tena akiwa amevalia jezi kabisa ya timu yao.
Mm nampenda lakini alichokifanya si kitendo cha kiungwana
Mimi sio kwamba simpendi na ahsante kwa your reply,mie napenda mpira na ni muumini wa nidhamu daily,kama wewe umependa alichokifanya na kujibu hichi ulichojibu sikupingi ni maoni yako,ila jaribuni kukaa nae na mumwambie kwamba Nidhamu ndo kila kitu ata kama umefankiwa kupata kila kitu maishan mwako.Mkuu kama humpendi na ww cha kati kinakuhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas, kumbe na wee mpana iv mmmmmh.Naona watu hawataki kukubali kama limeingia au lah!
Wanazunguka zunguka tu.
wana JF wote waliojiunga na JF mwaka 2016.Leo kawatia dole akina nani?
Umeona dogo wa Mbeya City jana alivyomtoa ulimi? Akaenda kuokolea ndani ya nyavu.Kuna mchezaj alikuwa anakejeliwa na kuombea mabaya Kama Onyango?, vipi mbona saivi mashabiki wametulia na hawamkejeli tena?, sehemu sahihi ya kuwajibu mashabiki ni uwanjani...
Hata Messi & Ronaldo wanatukanwa na kuchukiwa, vipi washawah kuwaonyesha kidole mashabiki wanaowachukia
Morrison anataka kushndana na mashabiki na hicho ndo kinamponza
Jumlisha pia na Andunje wao hawafikii goli na assist za LamineLamine Moro kafunga magoli mengi zaidi ya hako kajamaa katapeli. Halafu duka hilo.
Hivi mashabiki mbumbumbu na mashabiki nyani, ma mbwa ya kubwekabweka a.k.a uneducated people wasiojua football kulikon. Maneno ya yule kocha wenu mlimlalamikia kwa ubaguz.Mashabiki viazi wa Simba watakuja kukutukana sasa hivi hapa,yaani in short tu ni kwamba mashabiki wa Simba hawataki kabisa kusikia mtu anamzungumzia huyu mchezaj wao kwa kile kitendo alichokifanya,mashabiki wa Simba ukiwauliza kwamba kwa nn mnamtetea huyu jamaa wanakwambia eti hicho kitendo ni maisha binafsi ya mchezaji na wala si utovu wa nidham(Umbumbumbu ni kaz sana)
Nasikia nyie aliwatia la matako. Polen snkesho kutwa atawatia dole la macho mashabiki wa simba ndiyo wataelewa vizuri maana ya utovu wa nidhamu.
Eeh,[emoji1787][emoji1787][emoji1787],nilijua tu utakuja kwa hasira kupita na comment aginst your player.Hivi mashabiki mbumbumbu na mashabiki nyani, ma mbwa ya kubwekabweka a.k.a uneducated people wasiojua football kulikon. Maneno ya yule kocha wenu mlimlalamikia kwa ubaguz.
hapa tayari umeshapanic 🤣 🤣 🤣Nasikia nyie aliwatia la matako. Polen sn
Mkulukulu yupo timu hip. Prime minister chama hilohilo. Haya mazur huyasem bwege wwWanaovaa jezi cha wamatopeni huwa hawakosi vimbwanga.
Juzi hapa yule aliyehukumiwa kubaka Geita alikuwa ndani ya uzi wa wamatopeni.
Huyu nae anaonyesha dole la kati yupo ndani ya uzi wa wamatopeni.
Ngoja tusubiri kimbwanga kingine!
ImekuingiaEeh,[emoji1787][emoji1787][emoji1787],nilijua tu utakuja kwa hasira kupita na comment aginst your player.