Teuzi bado zipoMbele ya rais, Afande Sele kasema Tz hakuna mbadala ya CCM.
Ni leo ktk uzinduzi wa kiwanda cha Sigara mkoani Morogoro.
Afande Sele ni jembe!
Mmh mbona replies zeru hazifanani kabisa... Mimi nikichoonyesha ni furaha tu wewe unakuja na yako duuuWapinzani buana mnachekesha sana, eti Wema Sepetu alipohamia kwenu mkasema jembe hahaha, alivyowahama tena ohhhhhhhh,
Umeshasema Afande sele halafu unauliza ni naniKwani afande sele ni nani?
AiseeAmetoka ACT wazalendo