Morogoro road hapatoshi Kimara Mbezi

H1N1

JF-Expert Member
May 29, 2009
4,217
1,579
wanajukwaa,ni bora tupeane taarifaa hii, barabara ya morogoro inamsongamano mkubwa kiasi kwamba nimetumia masaa mawili kuendesha gari kati resort na kimara mwisho.

Magari yameshonana vibaya sana ukitilia maanani idadi kubwa ya magari yanaendeshwa na madereva wengi wenye "allegy"na kufikiri,baada ya kuwa foleni imegota Midereva ya ajabu ikatanua kushoto na kulia kiasi kwamba kupishana Kwa magari yajayo mjini na yaendayo uelekeo as mbezi ni mgumu sana, pamoja na kwamba nimeghairi kuendelea na safari sina namna ya kugeuza,naona trafic wamekuja labda watasaidia.

Ushauri Kwa wale wanaovizia foleni iishe saa nne waendelee na kuhesabu vizibo, hari ya barabara ni mbaya sana
 
wanajukwaa,ni bora tupeane taarifaa hii, barabara ya morogoro inamsongamano mkubwa kiasi kwamba nimetumia masaa mawili kuendesha gari kati resort na kimara mwisho. Magari yameshonana vibaya sana ukitilia maanani idadi kubwa ya magari yanaendeshwa na madereva wengi wenye "allegy"na kufikiri,baada ya kuwa foleni imegota Midereva ya ajabu ikatanua kushoto na kulia kiasi kwamba kupishana Kwa magari yajayo mjini na yaendayo uelekeo as mbezi ni mgumu sana, pamoja na kwamba nimeghairi kuendelea na safari sina namna ya kugeuza,naona trafic wamekuja labda watasaidia. Ushauri Kwa wale wanaovizia foleni iishe saa nne waendelee na kuhesabu vizibo, hari ya barabara ni mbaya sana

Pole sana! kuna gari nadhani ni Elsaid inaitwa imegonga mtu pale kwa YUSUFU Mbezi luis. wanadamu wameamua kuweka magogo barabarani baada ya polisi kushindwa kusaidia.
 
Hii ya leo ilikuwa kali...nimefika nyumbani Mbezi sasa saa 6 usiku..Nimetoka ubungo saa 2 na nusu...Na hapo ni baada ya kutanua na kupeta njia za kitaa kwa sana maana barabara zilifunga...Sijui mwaka wa shetani huu?
 
Back
Top Bottom