Tunasubiri majibuKunaishika? Maana mtu toka nje ya morogoro anatakiwa awe na hakika akinunua maisha yanaweza kuendelea.
Maelezo kidogo ya eneo yanaweza kusaidia. Umbali toka Town center au barabara kuu, upatikanaji wa umeme na maji na pia miundombinu ikoje?
Ndiyo, miundombinu ipo vizuri.Kunaishika? Maana mtu toka nje ya morogoro anatakiwa awe na hakika akinunua maisha yanaweza kuendelea.
Maelezo kidogo ya eneo yanaweza kusaidia. Umbali toka Town center au barabara kuu, upatikanaji wa umeme na maji na
Nimeeka majibu tayari mkuu!Tunasubiri majibu
Hapa Kuna upigaji na uhalali wa bei unakufa. Eneo Moja watu wawili tofauti na Bei pia tofauti... Hii ni dalili kuwa Kuna hatari ya mtu kutapeliwa.kule price 48M huku 45M
mzazi wetu ndie mmiliki halali, And yes Bei ilianza 48M na kushuka hadi 45M baada ya clear evaluation. Kama uko interested utakuta full documents za umiliki na kiwanja pia ni ruksa kuona eneo. Now please real buyers mjitokeze and if u need more info i'm happy to comply
Ukipenda uje uhakikishe lakin pia kama sio buyer basi lets wait for real ones mkuu. kwanini tuandike mate na wino upoHapa Kuna upigaji na uhalali wa bei unakufa. Eneo Moja watu wawili tofauti na Bei pia tofauti... Hii ni dalili kuwa Kuna hatari ya mtu kutapeliwa.