Morogoro: Natafuta Office share onr room basi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Morogoro: Natafuta Office share onr room basi.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Logo, Sep 6, 2012.

 1. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wadau,

  Mliopo Morogoro hapa niliponimesajili kampuni ila centre imekuwa vijijini sana, naomba yeyote aliye na office Morogoro anipe angalau chumba kimoja tu nishare na office zake. Gharama zote stahiki nitalipa, nahitaji msaada huu haraka kwani ningependa kutumia Adress yake kwenye certificate ya kampuni yangu.

  Kampuni inahusiana na masuala ya ushauri wa media. consultant.

  Nahitaji msaada wako wa haraka, asante.
   
 2. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuwasiliane kwa anayeweza kutoa msaada
   
 3. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  i am keeping waiting
   
Loading...