Bila shaka upo Dodoma, Shinyanga or around thatYaan huku nilipo tunatamani mvuaaa basy tuuu mungu atukumbuke na na hili joto pooooh
hii mvua ni kubwa mno, nipo moro muda huu, ila hayo mawe sijayaona
Bila shaka upo Dodoma, Shinyanga or around that
Anatakiwa atubuNi makosa ya serikali!??!!
Madizini au uwanjani? Utakua jirani yangu wewe alafu hatujuaniYapo mkuu maeneo ya kilakala
Upo usawa wa Itigi nini mkuu?Muda huu kuna Mvua kubwa Inaonyesha ikiambatana na barafu (mawe)
Katika eneo la Karibu na nilipo miti imeangushwaaa.
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Ya Mange kimambi