Wapi huko?sasa hivi Arusha ,arumeru mvua inanyesha kubwa sana!Yaan huku nilipo tunatamani mvuaaa basy tuuu mungu atukumbuke na na hili joto pooooh
Jirani avatar yako inanitishaMadizini au uwanjani? Utakua jirani yangu wewe alafu hatujuani
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yakusanye hayo mawe maana nataka nianze ujenzi kule mazimbu yatanisaida kwa zege
Kivipi jirani me mbona sina tatizo kabisa?
Kasie umeanza kuwa mama wa tiba mbadala?Kwa bibi yangu mtaa baba ilikuwa ikinyesha hiyo mvua ya mawe, wanawahi kuyaokota mawe kabla hayajayeyuka kisha wanasugua kwenye kwapa ..... basi vinyweleo vya maeno hayo hiviii tenaaaa unakuwa na kwapa lainiiii kama la mtoto mchanga.
Mwaweza jaribu kama itafanya kazi.
Ever Smiling Kasie.
Hiyo sura mkuuKivipi jirani me mbona sina tatizo kabisa?
Mmmmh hujawahi kujaribu?Hapana ni historia ya bibi...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] huyo ni mpwa wangu jirani usiogope
Wapi hukIsukumie kidogo ije na huku w"aja lini waondoka lini"!
Aisee Umenitisha jirani,duh[emoji2] [emoji2] [emoji2] huyo ni mpwa wangu jirani usiogope
Hahaha ngoja ikufumanie shambani ndo utatia akiliTam sana hyo....hasa mkiwa wawili kweny blanket
Usiogope jirani. Me muda huu nipo njia panda apa ya kwenda kichangani kama unatokea bigwa. Sijui unapatikana maeneo gani wewe
Mimi sipo arusha mkuuWapi huko?sasa hivi Arusha ,arumeru mvua inanyesha kubwa sana!
Noop nko mikoa ya pwaniBila shaka upo Dodoma, Shinyanga or around that