MOROGORO: Mkulima ajeruhiwa vibaya kwa kukatwa na panga kichwani

N Leo tu mida ya saa 9-10 alasiri tulikuwa tukitazama star tv m n shemej yenu kipind cha matukio yalotokea 2016,tulipoonyeshwa ule mgogoro wa wakulima na wafugaji tukasamemezana hivi vitu Serekali inatakiwa kuweka mkazo kweli kweli Has a kuwachukulia Hatua hao wananaojichukulia sheria mkononi ...ushauri wangu kwa Serekali n kuwatafutia wafuguji maeneo mengine wakachungie huko.mbunge wa mikumi pia usichoke kutoa elimu ya upendo kwa wapiga Kura wake
 
Prof Jay ana kazi kubwa sana kuiongoza mifugo inayofuga mifugo menzao. Kuna watu huwezi watofautisha na mifugo hata kwa zero percent.
Pole yenu Mikumi
Hawa watu huwa wanakuwa na akili za ng'ombe tukio moja lilitokea kijijini kwetu walimfuata mzee mmoja shambani kwake wakabwambia sali sala ya mwisho! Asee walimshambulia yule mzee hadi umauti ukamkuta.Hawa wafugaji si watu hata akija kwako kuomba maji ya kunywa hastahili kupewa kabsa.
 
Joseph si aende huko yeye kazi yake ni kutoa tu matamko kwa polisi wafuatilie.
Polisi wana kazi ya kumlimda lema na ben saanane.
Wewe Profesa nenda kaongee na wananchi wako nenda kasuluhishe.
Mbona kwenye kura ulienda ?
Kwani kwenye kampeni uliwaahidi nini?
Achana na matamko....
Ha ha anaogopa atageuzwa ndafu
 
Hili tatizo naona serikali limeshindwa kutatua?,kwa kweli nawahurumia wakulima kwa kadhia hii,pole sana bwana Omary,twakuombea upate nafuu haraka..
 
Mpaka hapa naanza kuamini kuwa Tanzania haina uwezo wa kutatua migorogoro ya wakulima na wafugaji bila kujali nani yuko madarakani.
 
Joseph si aende huko yeye kazi yake ni kutoa tu matamko kwa polisi wafuatilie.
Polisi wana kazi ya kumlimda lema na ben saanane.
Wewe Profesa nenda kaongee na wananchi wako nenda kasuluhishe.
Mbona kwenye kura ulienda ?
Kwani kwenye kampeni uliwaahidi nini?
Achana na matamko....
Hii ni kazi ya serikali. Mbunge hana vyombo vya dola. Mbunge hapangi matumizi ya ardhi.
Mwisho, una uhakika hajaongea na wananchi?
Kutenga maeneo ya wakulima is a very temporary measure. Jiulize hawa wafugaji wametoka wapi na huko walikotoka kulilkuwaje na sasa kukoje.
 
Sasa yule Mkuu wa Mkoa wa awali alitimuliwa kwa sababu gani na huyu anabaki kwa sababu gani? Wakati mwingine ukitaka kumuacha mke bora usitoe sababu kwani utaaibika bure.
 
Hii ni kazi ya serikali. Mbunge hana vyombo vya dola. Mbunge hapangi matumizi ya ardhi.
Mwisho, una uhakika hajaongea na wananchi?
Kutenga maeneo ya wakulima is a very temporary measure. Jiulize hawa wafugaji wametoka wapi na huko walikotoka kulilkuwaje na sasa kukoje.
Ujue kuwaita Polisi maana yake ni kutumia nguvu.
Mimi maana yake je Mbunge hawezi kwenda kusulujisha kuongea na wazee wa pande zote?
Sijui hali halisi ya mgogoro..
Ila kwenye matatizo diplomasia inaweza kuwa suluhisho kuliko kuwalilia polisi.
Sasa kazi ya mbunge ni nini? Kama matatizo kama haya na yeye analia lia kwa serikali?
Au kuna kitu sikielewi hapa!?
 
TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MIKUMI

Mkulima mmoja aitwaye OMARY SULULU mapema Leo tar 1 January 2017 ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa na panga kichwani na mfugaji kwenye kijiji cha MAMOYO kata Ya MABWEREBWERE Jimbo La Mikumi. Tukio hilo limetokea baada ya Ndugu OMARY SULULU alivyokuwa akijaribu kufukuza mifugo hiyo kwenye mashamba ya Migomba, nyanya na Mahindi, Kwa sasa Ndugu OMARY SULULU anaendelea na Matibabu katika Hospitali Ya Wilaya Ya Kilosa.

Juhudi zilizokwishafanywa na Mhe Mbunge ameweza kuwasiliana na Mkuu wa Wilaya Ya Kilosa kwa hatua zaidi

Lakini pia Mbunge wa jimbo La Mikumi Mhe JOSEPH LEONARD HAULE anaendelea kutoa wito na kuiomba sana serikali itusaidie kutatua migogoro hii isiyokwisha ya wakulima na wafugaji wilayani KILOSA...
View attachment 453056

Imetolewa na:

Robert A. Galamona
Katibu Ofisi Ya Mbunge
Jimbo La Mikumi
Huyo mbunge kashindwa au hajui maana ya serikali? Pyuuuuu
 
POLISI INAFANYANINI?? WAMASAHI HAWA NDO WANATAKA KUPWEA NCH KWELI? SERIKALI KWANINI ISWAONDOE WAMASAI KUERUDI KWAO ARUSHA?

Mkuu unapokua unatoka comments jaribu kushirikisha akili katika mikono yako.

Kwani kila RAIA anatembea na polisi wake au kila kaya ina chumba ambacho ni kituo cha polisi?

Kuwakabithi wamasai nchi na mapigano ya wakulima na wafugaji vinaingiliana vipi kiongozi?

Tukisema kila mmoja arudi alikozaliwa Leo hii wewe utakua tayari kurud kwenu?
Be serious bhana
 
Uwe unajiongeza basi kwenye ugomvi wa wakulima na wafugaji hakuna itikadi za vyama vya siasa Serikali imeshindwa kutatua migogoro ya wafugaji na wakulima ndo maana yanatokea matukio kama haya yanatakiwa kudhibitiwa.

Huyu ana stress mkuu, kariakoo mambo hayaendi anaelekea kufilisika. Soon atarudi Kwao kuchunga.
 
Serikali haiwezi kutatua hili tatizo kwasababu mbunge ni wa upinzani. Wakilitatua watakosa oja ya kuombea kura mwaka 2020.

Prof Jay jitahidi ulilatue mwenyewe.
 
Joseph si aende huko yeye kazi yake ni kutoa tu matamko kwa polisi wafuatilie.
Polisi wana kazi ya kumlimda lema na ben saanane.
Wewe Profesa nenda kaongee na wananchi wako nenda kasuluhishe.
Mbona kwenye kura ulienda ?
Kwani kwenye kampeni uliwaahidi nini?
Achana na matamko....

Mkuu Prof Jay karibia siku zote yupo Mikumi, kumbuka kua swala la hawa jamaa siyo la mtu mmoja wala la muda mfupi. Let's pray for them as I believe watayamaliza
 
Hivi hawa wafugaji wataacha lini uchungaji wa mifugo? Ufugaji wa kuswaga mifugo kwa nyakati hizi hauwezekani, ardhi imeshakuwa finyu.

Vv
 
Back
Top Bottom