MOROGORO: Mkulima ajeruhiwa vibaya kwa kukatwa na panga kichwani

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,380
2,000
TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MIKUMI

Mkulima mmoja aitwaye OMARY SULULU mapema Leo tar 1 January 2017 ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa na panga kichwani na mfugaji kwenye kijiji cha MAMOYO kata Ya MABWEREBWERE Jimbo La Mikumi. Tukio hilo limetokea baada ya Ndugu OMARY SULULU alivyokuwa akijaribu kufukuza mifugo hiyo kwenye mashamba ya Migomba, nyanya na Mahindi, Kwa sasa Ndugu OMARY SULULU anaendelea na Matibabu katika Hospitali Ya Wilaya Ya Kilosa.

Juhudi zilizokwishafanywa na Mhe Mbunge ameweza kuwasiliana na Mkuu wa Wilaya Ya Kilosa kwa hatua zaidi

Lakini pia Mbunge wa jimbo La Mikumi Mhe JOSEPH LEONARD HAULE anaendelea kutoa wito na kuiomba sana serikali itusaidie kutatua migogoro hii isiyokwisha ya wakulima na wafugaji wilayani KILOSA...
tmp_17875-FB_IMG_1483284988554711068379.jpg


Imetolewa na:

Robert A. Galamona
Katibu Ofisi Ya Mbunge
Jimbo La Mikumi
 

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
1,812
2,000
POLISI INAFANYANINI?? WAMASAHI HAWA NDO WANATAKA KUPWEA NCH KWELI? SERIKALI KWANINI ISWAONDOE WAMASAI KUERUDI KWAO ARUSHA?
 

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
6,521
2,000
Ccm vs ukawa huko umeingia hadi Kwa wafugaji kuchukia wakulima CCm! Hapo hadi kijani ishinde 2020
 

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,380
2,000
Ccm vs ukawa huko umeingia hadi Kwa wafugaji kuchukia wakulima CCm! Hapo hadi kijani ishinde 2020
Uwe unajiongeza basi kwenye ugomvi wa wakulima na wafugaji hakuna itikadi za vyama vya siasa Serikali imeshindwa kutatua migogoro ya wafugaji na wakulima ndo maana yanatokea matukio kama haya yanatakiwa kudhibitiwa.
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
50,976
2,000
Joseph si aende huko yeye kazi yake ni kutoa tu matamko kwa polisi wafuatilie.
Polisi wana kazi ya kumlimda lema na ben saanane.
Wewe Profesa nenda kaongee na wananchi wako nenda kasuluhishe.
Mbona kwenye kura ulienda ?
Kwani kwenye kampeni uliwaahidi nini?
Achana na matamko....
 

New Nytemare

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
3,140
2,000
kwaio kinachotokea viongoz wa usalama sehemu za migogoro ya ardhi wanaona ndo dehem za dili
 

Patience123

JF-Expert Member
Mar 10, 2013
5,026
2,000
Prof Jay ana kazi kubwa sana kuiongoza mifugo inayofuga mifugo menzao. Kuna watu huwezi watofautisha na mifugo hata kwa zero percent.
Pole yenu Mikumi
Na bora hata mifugo utachinja upate kitoweo au utauza upate pesa,wafugaji wilaya ya Kilosa ni mizigo isiyobebeka, wanaingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima kibabe huku wamejiandaa kuwadhuru watakaojaribu kuwatoa.

Mvua hakuna,hayo mazao machache tunayoyategemea ndio wanafungulia mifugo yao. Hao ndio wanaochochea njaa Nchini.
 

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
7,436
2,000
Nasikia wale wote waliokua wanakunywa maziwa wanakuwa na upungufu wa akili, yaani maziwa siyo kitu kizuri sana ktk akili. Na ndiyo maana wafugaji kwa sehemu kubwa uwezo wao darasani ni mdogo na wana matendo kama ya wanyama (mfano ng'ombe). Nadhani kunahitaji kuwaelimisha sana tena sana hawa wenye akili kama za ng'ombe
 

gpluse

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
532
1,000
Ccm vs ukawa huko umeingia hadi Kwa wafugaji kuchukia wakulima CCm! Hapo hadi kijani ishinde 2020

Wewe nadhan akili yako haiko vzr. Sioni ni kwa vipi matukio ya wakulima na wafugaji kuuana yana uhusiano na siasa
 

Nathason2

JF-Expert Member
May 20, 2015
601
1,000
Prof Jay ana kazi kubwa sana kuiongoza mifugo inayofuga mifugo menzao. Kuna watu huwezi watofautisha na mifugo hata kwa zero percent.
Pole yenu Mikumi
Hizi ni dharau za hali ya juu sana kuwaita wanadamu wenzio wanyama na pia ni udhalilishaji usiovumilika na sio sawa hata kama unachukizwa na Tabia zao

kiujumla nimwombe tu Content Moderator akuzawadie ban yako fasta Sana
 

HOMBOY

JF-Expert Member
May 16, 2016
1,433
2,000
Chadema mnafanya kazi gani sasa??
sema serikali inafanya kazi gani acha kujitoa ufahamu,pale kuna kamati ya ulinzi na usalama kuanzia ngazi ya kijiji hadi mkoa,mamlaka hayo yamo mikononi mwa chama dola
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom