MOROGORO: Mkulima ajeruhiwa vibaya kwa kukatwa na panga kichwani

Masikini wakuliwa... Sijui hili tatizo mpaka lini.... Kwahiyo wanataka wale nini hasa mazao yao yakiharibiwa....
 
Hawa wafugaji wasipodhibitiwa watachunga mpaka ikulu. Wacha waendelee kukata watu mapanga Serikali ni kama haipo.
 
TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MIKUMI

Mkulima mmoja aitwaye OMARY SULULU mapema Leo tar 1 January 2017 ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa na panga kichwani na mfugaji kwenye kijiji cha MAMOYO kata Ya MABWEREBWERE Jimbo La Mikumi. Tukio hilo limetokea baada ya Ndugu OMARY SULULU alivyokuwa akijaribu kufukuza mifugo hiyo kwenye mashamba ya Migomba, nyanya na Mahindi, Kwa sasa Ndugu OMARY SULULU anaendelea na Matibabu katika Hospitali Ya Wilaya Ya Kilosa.

Juhudi zilizokwishafanywa na Mhe Mbunge ameweza kuwasiliana na Mkuu wa Wilaya Ya Kilosa kwa hatua zaidi

Lakini pia Mbunge wa jimbo La Mikumi Mhe JOSEPH LEONARD HAULE anaendelea kutoa wito na kuiomba sana serikali itusaidie kutatua migogoro hii isiyokwisha ya wakulima na wafugaji wilayani KILOSA...
View attachment 453056

Imetolewa na:

Robert A. Galamona
Katibu Ofisi Ya Mbunge
Jimbo La Mikumi
Mbunge asiwe mtu wa kuiomba serikali msaada kwa suala hilo yeye Mh. Prof Jay ndio yupo kwenye nafasi nzuri kuliko hata JPM coz yeye ndio anawajua kwa ukaribu wananchi wake kushindwa hata mkuu wa wilaya au mkurugenzi aliyechaguliwa kutoka mahali hamna shughuli za ufugaji....Ombi Mh. Mtumishi wa wananchi wa Jimbo la mikumi tumia ushawishi ulionao kwa wapiga kura wako kuweza kutatua mgogoro wa haina hiyo...Au andaa mpango ukishirikiana wataalamu wa ardhi thn muipe GvT iweze ku play part yake....Itafutwe suluhu ya kudumu....Hiyo migogoro imekuwa sugu mkianza kutafuta mwenye jukumu la kutatua hakika halitaisha jambo hilo...Kila mtu ana wajibu juu suala hilo kama tunaweza kutumia nguvu nyingi kupambana na madereva wa mabasi wanaondesha bila kufuata sheria na kuwapeleka polisi ili kuweza kuokoa maisha ya watanzania basi na
Hili ni la wote
 
Hizi ni dharau za hali ya juu sana kuwaita wanadamu wenzio wanyama na pia ni udhalilishaji usiovumilika na sio sawa hata kama unachukizwa na Tabia zao

kiujumla nimwombe tu Content Moderator akuzawadie ban yako fasta Sana

Sorry for not being in school sir\madame... Me ,u ,cow,dog etc we all belong to a category so called Animal
 
classification hukuielewa we we hakuna kundi linaitwa Mifugo .rejerea vitabu vyako vyema we we.

Yote ya yote tuombe mungu atuepushe na janga hili la mapigano ya wakulima na wafugaji
 
duh tatizo viongoz hawako siriaz katika hili naskia wafugaji wanahonga sana hadi milion 50 wanatoa..
Mill 50 hapana namshaur tu mbunge jimbo ni lake akae na kamati ya ulinz na usalama siasa tupa kule wapige kaz kuokoa vizazi vijavyo chuki ni mbaya sana
 
TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MIKUMI

Mkulima mmoja aitwaye OMARY SULULU mapema Leo tar 1 January 2017 ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa na panga kichwani na mfugaji kwenye kijiji cha MAMOYO kata Ya MABWEREBWERE Jimbo La Mikumi. Tukio hilo limetokea baada ya Ndugu OMARY SULULU alivyokuwa akijaribu kufukuza mifugo hiyo kwenye mashamba ya Migomba, nyanya na Mahindi, Kwa sasa Ndugu OMARY SULULU anaendelea na Matibabu katika Hospitali Ya Wilaya Ya Kilosa.

Juhudi zilizokwishafanywa na Mhe Mbunge ameweza kuwasiliana na Mkuu wa Wilaya Ya Kilosa kwa hatua zaidi

Lakini pia Mbunge wa jimbo La Mikumi Mhe JOSEPH LEONARD HAULE anaendelea kutoa wito na kuiomba sana serikali itusaidie kutatua migogoro hii isiyokwisha ya wakulima na wafugaji wilayani KILOSA...
View attachment 453056

Imetolewa na:

Robert A. Galamona
Katibu Ofisi Ya Mbunge
Jimbo La Mikumi
Pole kwao
 
Ujue kuwaita Polisi maana yake ni kutumia nguvu.
Mimi maana yake je Mbunge hawezi kwenda kusulujisha kuongea na wazee wa pande zote?
Sijui hali halisi ya mgogoro..
Ila kwenye matatizo diplomasia inaweza kuwa suluhisho kuliko kuwalilia polisi.
Sasa kazi ya mbunge ni nini? Kama matatizo kama haya na yeye analia lia kwa serikali?
Au kuna kitu sikielewi hapa!?
Saint Ivuga, nimeongea hoja zaidi ya mbunge kuongea na wananchi. Ebu rudia kusoma post yangu.
Natamani utembelee baadhi ya maeneo mkoani Morogoro. Nina uhakika utakuja na hoja tofauti.
 
TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MIKUMI

Mkulima mmoja aitwaye OMARY SULULU mapema Leo tar 1 January 2017 ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa na panga kichwani na mfugaji kwenye kijiji cha MAMOYO kata Ya MABWEREBWERE Jimbo La Mikumi. Tukio hilo limetokea baada ya Ndugu OMARY SULULU alivyokuwa akijaribu kufukuza mifugo hiyo kwenye mashamba ya Migomba, nyanya na Mahindi, Kwa sasa Ndugu OMARY SULULU anaendelea na Matibabu katika Hospitali Ya Wilaya Ya Kilosa.

Juhudi zilizokwishafanywa na Mhe Mbunge ameweza kuwasiliana na Mkuu wa Wilaya Ya Kilosa kwa hatua zaidi

Lakini pia Mbunge wa jimbo La Mikumi Mhe JOSEPH LEONARD HAULE anaendelea kutoa wito na kuiomba sana serikali itusaidie kutatua migogoro hii isiyokwisha ya wakulima na wafugaji wilayani KILOSA...
View attachment 453056

Imetolewa na:

Robert A. Galamona
Katibu Ofisi Ya Mbunge
Jimbo La Mikumi
Mh JPM angalizo... Kama serikali ya mkoa na wilaya husika zinajua wajibu wao na kufanya kazi kwa weledi hatungepaswa kusikia habari ya mauaji/mapigano kati ya wakulima na wafugaji bila kujali ukubwa wa tatizo period.

Haingii akilini DSO anafanya nini on day to day basis kuna taarifa wanatoa daily je huwa wana-report nini kwa mfano huko tunakosikia wafugaji na wakulima wanauana. Au ni yale yale ya kureport matukio/postmortem??? Kamati ya usalama mkoa na wilaya wanasimamia kweli maslahi ya wananchi au maslahi ya Chama tawala na serikali yake??

Believe you me mpaka wakulima na wafugaji waanze kupigana it is not an overnight incident ....kutakuwa na series ya mambo yanayotokea ambayo naamini watendaji wanayafumbia macho kwa makusudi.

Kwa ufahamu labda niulize RC na DC-wilaya husika wanampa JPM taarifa gani kuhusiana na hali ya usalama ktk maeneo ambayo kuna sintofahamu kati ya wakulima na wafugaji?

Back
Top Bottom