Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini
Mhe Abdulaziz Mohammed Abood amekabidhi HUNDI ya Tsh Milioni moja
(1,000,000) kwa umoja wa wanawake wa kanisa la Roman Catholic
(RC) la Mt.Patrick lililoko Morogoro mjini kwaajili ya kusapoti mradi wa wanawake hao ambapo
Mhe Abood alikuwa mgeni rasimi
29/10/2023View attachment 2797394