Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Ndio mkoa wenye watu wa ajabu kutokea hapa nchini. Npo hapa napunga upepo mkuu
They are so lazy, most of them are dependentUajabu wao upoje mkuu, hebu tudadavulie basi tuwachore humu
Mkuu hiyo ni lugha gani?They are so lazy, most of them are dependent
Hujakaa morogoro wewe ila umekaa morogoro ambayo ni part ya dar.
Morogoro ni mji ambao una sehemu zake (vimji)vinavyojitegemea kama.
morogoro mjini.
Kilosa.
Kilombero.
Mikumi
Ifakara
Gairo
Mahenge .
Mvomero.
Malinyi
Zote ni sehemu zinazojitegemea na mtu akitoka kati ya sehemu mojawapo akitaka kwenda moro mjini anasema na anapanga safari kwamba anaenda morogoro kama nyie mnavyotoka mkoani na kuja moro yaani huwa hawajiesabii kwamba wako morogoro.
Unaweza kumuuliza mtoto au kijana wa ifakara kwamba ulishawahi kufika moro kama bado atakwambia bado sijafika morogoro na wakati huo huo yuko ndani ya mkoa wa morogoro.
Huko nilikotaja ukiachana na morogoro mjini ndio utakutana na wanamoro halisi wachapa kazi.
Mfano ukienda kilombero utakutana na mashamba ya miwa hekta kibao unafikiri wanalima wakina nani kama sio wanamoro wangekuwa wavivu ungeona ile miwa na kununua sukari yao KILOMBERO SUGAR.
Ukienda ifakara,lupiro mpaka malinyi huko kuna bonde la mpunga hekta kibao unafikiri wanalima wakina nani kama siyo wanamoro wangekuwa wavivu ungeona mpunga unalimwa .
Acha kuisema moro wewe umefika hapo tu mjini ambapo Asilimia kubwa ya vijana wanafanya changes na vijana wa dar
Vijana wa moro wanatoka jioni wanaenda kula bata dar hivyo hivyo vijana wa dar wanatoka wanakuja kula bata moro mjini.
Siku inayofuata kila mtu anarudi kwenye mji wake.
Wewe haujakaa moro ila umekaa part ya moro kwa hiyo usiipakazie moro nzima .
Tafuta mtu akutembeze moro yote huone maajabu yake na nikwambie tu itakuwa ni tour ya kuanzia mwezi mzima ili huweze kuimaliza yote.
Kwa hiyo ukisema mji wa dar sehemu hipi inakuwa mji na sehemu hipi inakuwa mkoa yaani siyo mji?Unatakiwa uelewe kilchozngumziwa ni mji wa morogoro sio mkoa wa morogoro[emoji1] [emoji1]
Morogoro ni kubwa ukilnganishs na DSM ambayo ni ndogo sana na sehem kubwa ni mjini,Kwa hiyo ukisema mji wa dar sehemu hipi inakuwa mji na sehemu hipi inakuwa mkoa yaani siyo mji?