JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Nilijua kuwa hampendi wageni Donn!! Shame on you Moro members!
mi nawawakilisha tu watu wa moro.... Huku si Nyumbani..... nimekuja tu kwamishe flani flani kisha narudi Dar..... Ila sitaki kuamini kuwa nipo mwenyewe tu JF Member huku....
Inabidi kuwafanyia ka mpango ka ISP wa bure na vipakato vya bure tunaweza pata member wa kutosha.
dahh... umeongea point sana... mi huku huwa wananiagiza vipakato mpaka naboreka..... Ila hapo kwa ISP wa bure ndo ishu
Ngoja, nitafaye mawasilia na wadau tuone jinsi gani tunapata ISP wa bure, yani hapo tunaanzisha kama NGO'S ivi kakusaidi moro, unajua sasa ivi mataifa yanapigia sana chapuo mawasiliano
Uko pande zipi mkuu?mi nawawakilisha tu watu wa moro.... Huku si Nyumbani..... nimekuja tu kwamishe flani flani kisha narudi Dar..... Ila sitaki kuamini kuwa nipo mwenyewe tu JF Member huku....
Wadau wa CC manoah anaingia hapo Mji kasoro bahari mida ya saa tisa. Ndugu wana cc mtakao kua na nafasi napenda tuonane.
Wapo mkuu,tena wengi tuu.
Wakuu mi nipo morogoro na mara nyingi huwa kama member akija moro tunaonana naye hivyo nitafute ukifika mkuu
Wapo mkuu,tena wengi tuu.
Kuna siku niliingia cafe moja hivi iko maeneo ya kuelekea posta kushoto ndanindani kidogo nikakuta takribani Computer 4 zimesaini JF na mmoja wao nilimfahamu kwa sura(SHABANI KADO)mchezaji wa Yanga aliyeuzwa coast union ya Tanga.
Wanajifichaga eeh! au wanatuonea aibu wa dar na arusha jinsi tunavyo jipenda
Sawa sawa mkuu, sasa ivi nipo njiani kuja huko.
Sawa sawa mkuu, sasa ivi nipo njiani kuja huko.
Hahahahahaha!Wanajifichaga eeh! au wanatuonea aibu wa dar na arusha jinsi tunavyo jipenda
Mkuu usisahau kutumia NET maana kuna mbu balaa,full malaria aise.
Hapa nilipo nina doz nimeanza kuitumia jana.
Ukitaka vijiwe vya kupata lunch nenda pale town karibu na ofisi za abood bus kuna bar moja nimeisahau jina,jamaa wanachoma nyama balaa mkuu lol!
Mkuu usisahau kutumia NET maana kuna mbu balaa,full malaria aise.
Hapa nilipo nina doz nimeanza kuitumia jana.
Ukitaka vijiwe vya kupata lunch nenda pale town karibu na ofisi za abood bus kuna bar moja nimeisahau jina,jamaa wanachoma nyama balaa mkuu lol!
Hahahahahaha!
Mybe.