Morogoro haina wahandisi wa maji?

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
3,882
4,118
Ni miaka kadhaa sana mji kasoro bahari umekuwa na shida ya maji kuliko hata zile seheme tunazoambiwa ni kame. Mji huu umekuwa ukikua kwa kasi kubwa lakini miondombinu hasa ya maji ni kama kitu cha ziada.
Maeneo kama kihonda,nane nane,chamwino,modeco,mazimbu n.k watu wapo busy kusaka maji kuliko kufanya shughuli za maendeleo.
Binafsi namuomba waziri wa maji autazame mji huu,kama tatizo ni watendaji Rais Magufuli naomba uwapitie nao hawa maana hili nalo ni jipu komavu.
 
Back
Top Bottom