Makosa ya kimkataba ...hayatatuliwi polisi
Makosa ya kimkataba ...hayatatuliwi polisi
Umeandika kilichokua kichan mwangu. Hahaaawatageuza mashtaka..itakuwa " kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu"
Hizo fedha hajalipwa. Hilo ni kosa lakuvunja mkataba. Ni kesi ya madai. Bahati mbaya kutokana na kipato na kukomolewa atasumbuliwa tu polisi.watageuza mashtaka..itakuwa " kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu"
Kwa mujibu wa Promota Siraji ni kuwa alipewa pesa za mwanzo, ambapo zingine angemaliziwa kabla ya kupanda ulingoni kama inavyokuwa wameahidiana ambapo Cheka alionyesha kutokuwa na imani na mpango huoHizo fedha hajalipwa. Hilo ni kosa lakuvunja mkataba. Ni kesi ya madai. Bahati mbaya kutokana na kipato na kukomolewa atasumbuliwa tu polisi.
Kutokuwa na imani wakat kishasaini mkataba na sehem ya hela kachukua.Kwa mujibu wa Promota Siraji ni kuwa alipewa pesa za mwanzo, ambapo zingine angemaliziwa kabla ya kupanda ulingoni kama inavyokuwa wameahidiana ambapo Cheka alionyesha kutokuwa na imani na mpango huo
Kumbeee nilikuwa sijui...by the way watu ambao hawajokosana gafla wanaambiwa wapigane yataka moyo na kujitoa akili ya kawaidaMchezo wa ngumi duniani kote umejaa utapeli sana!
Mkuu..alisema kuwa aliwahi kucheza pambano na Mthailand ambapo Promota Siraji hakumalizia hela yake mpaka leo ndo maana alikosa imani nayeKutokuwa na imani wakat kishasaini mkataba na sehem ya hela kachukua.
Subiri aisome namba