Morocco Yaingia Fainali CHAN, Niliwaambia Tanzania Haikuonewa Mkanitukana

Morocco Yaingia Fainali CHAN, Niliwaambia Tanzania Haikuonewa Mkanitukana

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Rangi ya Mtume sio poa kabisa, leo wamewaondoa Senegal kwa Penati.

Ndio maana kwenye mechi na Taifa langu sikuwa na sababu ya kumlaumu mtu, mlima mrefu ule

Wacha Mungu wale jamani, kalagabaho
 
Morocco achananao aise, sijutii kuwashabikia

Morocco and Algeria hawa majamaa acha kabisa

na uningwa unatuhusu
 
Umaskini wa akili ni mbaya saaana.

Senegal hana hata klabu moja kwenye top 50 ya CAF ranking ila inapokuja timu ya taifa hawajaanza leo kuhenyesha magiant siyo tu wa Africa ila hata wa dunia. Juzi juzi tu hapa wamemfunga England. Ni mabingwa watetezi wa CHAN.
Wameshashiriki Kombe la Dunia mara 3 ikiwemo kufika robo fainali.

Leo unajilinganisha nao na unatamba kabisa? Eti nini ya mtume? Aiseeeeeee
 
Watanzania sisi ni wapumbavu
Umaskini wa akili ni mbaya saaana.

Senegal hana hata klabu moja kwenye top 50 ya CAF ranking ila inapokuja timu ya taifa hawajaanza leo kuhenyesha magiant siyo tu wa Africa ila hata wa dunia. Juzi juzi tu hapa wamemfunga England. Wameshashiriki Kombe la Dunia mara 3 ikiwemo kufika robo fainali.

Una maana kwamba mleta mada alikosa lishe kutokana na umasikini akadumaa kiakili?
 
Ki uhalisia kwasasa hatujawa na timu ya kumfunga Morocco, ikitokea tumeshinda ni sehemu ya matokeo ya Mpira ila quality Yao ipo juu yetu.
 
Back
Top Bottom