Morocco imeshinda, haki imeshinda

Morocco imeshinda, haki imeshinda

Kafungwa solotape. Timu haina hata daktari ile.

Kuna siku niliona mchezaji kaumia katolewa nje, daktari hata hakumgusa, kamwangalia kwa jicho kali akamwambia arudi kucheza. Timu mbofu, benchi bofu, hamasa za hovyo za kudandia treni kwa mbele.
mda naangalia mpira nilivyoangalia bandeji ya kagoma nimecheka sana
 
Mmeona Uwanja ulivyofulika?
Nyie kaeni mnanuna nuna kwenye mitandao tutawaonesha jinsi tutavyofurika kupiga kura October
Watu walikuwa wanaingia firii
 
Mmeona Uwanja ulivyofulika?
Nyie kaeni mnanuna nuna kwenye mitandao tutawaonesha jinsi tutavyofurika kupiga kura October
Ndiyo kawaida ya Nyumbu kufurika mahala pamoja
 
U
Mmeona Uwanja ulivyofulika?
Nyie kaeni mnanuna nuna kwenye mitandao tutawaonesha jinsi tutavyofurika kupiga kura October
Umefurika wapi? Unajua kiingilio kilikuwa shilingi ngapi wewe
 
Back
Top Bottom