Morocco imeshinda, haki imeshinda

Morocco imeshinda, haki imeshinda

Kwakudandia matukio na maono ya kichadema kwaiyo Morocco ndio mahakama kesho Lisu yupo huru au sijakuelewa😇😇😇
 
Leo watoto WA mama wamepelekewa moto sana😆
20250822_221349.jpg
 
Ehe, ione ng'ombe hii..... Tukisema mnaleta siasa kwenye michezo mnapinga. Kwa hiyo unataka kutuambia
Ulivyosema Morocco imeshinda, haki imeshinda tayari ushaeleweka.
Mnavyo comment comment kwa mitandao mkafkiri watu hawatoenda uwanjani ? KIMEWAUMA SANA uwanja tumejaza na October tuna ✅
 
Uchaguzi wa mwaka huu utapooza saana tokea vyama vingi virudishwe tena kwa tamaa ya madaraka ya watawala CCM
Hakuna kitachopoa CCM inawatu million 13 na.. kati ya hao mimi simo ila wengi km mimi nasi tumejiandikisha na tunatick
 
Back
Top Bottom