Moro united 3 simba 2

Moro united 3 simba 2

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,164
Reaction score
38,555
Simba ishakula kicghapo dk ya 35 kipindi cha pili jamani uko chamanzi
moro 3 simba 2 tutawajuuza zaidi
rgds
 
tujuze fasta kabla thread haijaondolewa
 
Leo matokeo yakiwa 4-3 Simba watafukuza timu nzima kheeeee kheeeeee kheeeeee kheeeee
 
mpwa bado simba 3 moro 3 refa anazidi kuwaongezea simba muda
ANAANGALIA MUDA WAKE KWENYE MKONO ANAGEUKA PEMBENI NA
Mpiraaaaaaaaaaaaa umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
AHSANTEN SANA
FUNDI MITAMBO PDIDY
DREVA WA ABIVAN PDIDY
SHUKRAN KWA WASIKILIZAJI NA WACHANGIAJI WOTE TUKUTANE JANGWANI KUSHEREKEA USHINDI
 
Back
Top Bottom