Morning Star TV - Zuku

Morning Star TV - Zuku

Mparee Halisi

Senior Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
104
Reaction score
8
Habari wana Jf,naomba mwenye freguency na Symbol rate za Morning Star TV anisaidie, ikiwezekana na maujanja mengine,Nashukuru sana.
 
Mbona kama inapatikana Ting na Digitek pekee
 
Nashindwa kuelewa kuhusu hiyo amos5,naomba unieleweshe japo tu kidogo Bro
 
Back
Top Bottom