Morning SEX !!

Morning SEX !!

Weee, no retreat no surrender
ah, mi nisha move on bwana, no time for that. ila ndio hivo mwambie snowhite:
dada msaidizi, ukiwaamua paka na panya mshahuri paka, then kamshahuri na panya
maana mi nimejikalia zangu huku sehem sehem mara whatsapp na PINGs kibao toka kwa "boss wako".
 
Last edited by a moderator:

ahahaahahhahahhahahha ndo naziandika mie hapa!ehehhehehehe very very creative!
jilie mamii pings zako!
 
Yaani wewe, ugomvi wa manati unakuja na hili?
Tunahitaji kufika kwa babu Dark City (na nanvyoniringia huyu kibabu afu mie nasulubiwa kwa ajili yake)

na wewe uchague uretreat mapema
kabla sijamwambia EMT ulivokuwa unabembeleza foursome kw The Boss
na ulivokuwa unamlilia Dark City
niseme..................................................?
 
Last edited by a moderator:
Mna majigambo nye siku hizi

ah, mi nisha move on bwana, no time for that. ila ndio hivo mwambie snowhite:
dada msaidizi, ukiwaamua paka na panya mshahuri paka, then kamshahuri na panya
maana mi nimejikalia zangu huku sehem sehem mara whatsapp na PINGs kibao toka kwa "boss wako".
 
Yaani wewe, ugomvi wa manati unakuja na hili?
Tunahitaji kufika kwa babu Dark City (na nanvyoniringia huyu kibabu afu mie nasulubiwa kwa ajili yake)

veeery veeery strategic Kaunga nishampigisha ndoa kwa The Boss, Mwali kajistopia tu,kwanza juzi alikuwa anamwita Kambaku
wewe ndo nishahribu kwa ZOMBIE, Dark City na nani yule wa siku zile
eehehehehhehhehehhehhehe ngoja niwapigie nungwi wahakikishe recipe yangu for the dinner haijabadilika
cc EMT
 
HIvi hamwezi kuendelea haya maongezi bila kunihusisha jamani?
Naomba pia msimuhusishi Kambaku. Nyie mnaweza kuona ni utani tu
But wengine tuna mahusiano ya kweli nje ya mtandao (with both EMT and Kambaku)
 
Au tuwawekee ile picha ya pete zetu aisee au ile picha tulipiga Mlimani city nini?
 
sorry ma!
maskii simjui hata mmoja thought was just utani!nisamehe bure mwali!PLEASE!
It's okay dear, tanieni tu maana sio mahusiano ya kimapenzi.
But ndio hivo tena I don't want to be involved in utani wenu.
 
Nimekuelewa dear!
ngoja niache the whole thing!
pole sikujua kuwa nakukwaza in any way!u cud ve told me before!wala nisingeendelea!
SAMAHANI million times!
 
Hujanikwaza dear.
it's Ok nakwambia.
 
veeery veeery strategic Kaunga nishampigisha ndoa kwa The Boss, Mwali kajistopia tu,kwanza juzi alikuwa anamwita Kambaku
wewe ndo nishahribu kwa ZOMBIE, Dark City na nani yule wa siku zile
eehehehehhehhehehhehhehe ngoja niwapigie nungwi wahakikishe recipe yangu for the dinner haijabadilika
cc EMT

Hivi nyie mkianza hayo mambo yenu ya kungonoka asubuhi kazi mnafanya saa ngapi??

Hii michezo siipendi kabisa,

Babu DC!!
 
Kama kuna kitu nakichukia hata kukiona basi ni kondom

article nzuri sana lkn kondom ya nn bana?Mm ile harufu yake natapika!Niliwahi tumia mara moja tu hamna utamu kabisa!Afadhali nisigegede kabisa kuliko kutumia kondom bana
Hahahahahaha
Vitu vitamu vimewekwa pabaya..kiukweli hata mie sizipendi
 
Back
Top Bottom