Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
Mie pia na matatizo niko njema .
niaje judge uko poa?
Hauchi hauchi wecha , usalama wa bunduki !
Mbele chuma , nyuma mbao ndiyo tulionao .
mrembo by nature yuko wapi siku hizi?!
Nadhani atakua miongoni mwa wanaoitwa "members mizigo"
Umeonaee! halafu njoo ufue mm nimechoka
Maliza mwenyewe halafu uje upike nina njaa mie.
Wala sana si umepata breakfast saivi? wala kama viwavijeshihatari sana. kwa
mwendo huu tutafilisika huachi tumbo liheme!
Breakfast yote si umeitumia wewe kwa kunaniliu utadhani usiku hukupata! Haya nina njaa bana.
Poa nitapka jaman
Saa hizi!! Mmh we umenishinda..
Kwani ni vibaya?
Jamani nani ana format ya talaka anitumie..naona naihitaji sasa.
Ntafurahi sana maana nimekuchoka