‘Morning Glory’ kwa wanandoa

‘Morning Glory’ kwa wanandoa

Kiukweli naweza fanya hivyoo ila kulamba ile fimbo inaotoa hapa na pale nope.
Namapenzi sio chai inywewe kila saa jamani.
Kuna kipindi mtu anamatatizo ukitaka mmeo akupende sio lazima uwe mtumwa wa mapenzi kwa maana huu ni utumwa wajameni kila kitu ni kupeana ratiba sio kukurupuka na unaishi na familia sio fresh wanaume wakujitolea muhanga wachache wamebaki eti.
Natofauti ya sasa na zamani ni hili maisha ni magumu huwazi kulalana unawaza hela umsaidie mumeo majukumu hata kama machache ni sawa tu atashukuru.
Kwa waelewa mapenzi kuna siku zinapangwa hadi watu husafiri kuwa na utulivu ili afanye tu tendo kwa amani.
Mudada au mukaka asante kwa kutukumbusha wajibu .
Ipo akilini ila mimi nalea siwezi kufanya haya kwa sasa ni ngumu.
 
Sio kila siku Mkuu, si mambo ya ratiba tu
 
Utelezaji wa mambo yote haya mara nyingi haudumu, Kama wapo waliofanikiwa kufanya hivyo Kama sehemu ya maisha yao ni wachache sana. Uhalisia upo tofauti na kilichoandikwa hapa.
 
Kwahyo hutaki kufuniliwa kabisa
Eh sipendi masaa yote kwani ni chai ya asubuhi halafu sasa mtu aniambie nimfunue makenge yake machafu unyonye nyonye uchafu huu ni ukenge huko ni sehemu chafu panatakiwa pakutane na sehemu chafu yenzie .
Mimi mtu zamani akiniambia hiyo tabia naondoka huo ni umalaya .
 
True huwezi kufunuliwa kila saa hakuna mtu anayeweza hilo kila siku eti hulali na nguo kisa uliwe dah! Kuna life hapo na ni watoto mkifunuana tu kila saa mtatimiza majukumu yenu saa ngapi?
Tell me.
Hayo mambo ya asubuhi tu!
 
Sasa sio kila asubuhi kwanza huo muda watu hukimbizana na maisha sio muda wakuzimana tu.
Ila labda wazungu wanaweza jambo hilo .
sa kama unafanya kazi kariakoo au posta na unaishi kimara unashindwaje kuamka sa11, mkapashana mkaoga wote mkasepa na mwendokasi
 
Aisee tuko tofauti .
Kila nyumba inasheria zake .
Sheria zangu ni kutafuta hela tu.
Na kulalana ni baada ya kuzipata .
Nakama mtu anahamu na mwenzie basi weekend .
Watoto waende kwa bibi yao hadi ijumatatu.
Ila kila saa asubuhi na jee ukiwa kwenye rangi nyekundu itakuwaje?
 
rangi zinafahamika bhana
 
Back
Top Bottom