‘Morning Glory’ kwa wanandoa

‘Morning Glory’ kwa wanandoa

Ndio uje dm tufahamiane vyema kwanza nitalipaje mahari wakati hata sijakujua vyedi😍 au umesahau yale mambo ya courtship and marriage tunafanyaje
acha woga mfahamiane nini?, ye wakike we wakiume mengine yatafahamika ndani huko
 
Aisee tuko tofauti .
Kila nyumba inasheria zake .
Sheria zangu ni kutafuta hela tu.
Na kulalana ni baada ya kuzipata .
Nakama mtu anahamu na mwenzie basi weekend .
Watoto waende kwa bibi yao hadi ijumatatu.
Ila kila saa asubuhi na jee ukiwa kwenye rangi nyekundu itakuwaje?
Mh!....sawa
 
Back
Top Bottom