‘Morning Glory’ kwa wanandoa

‘Morning Glory’ kwa wanandoa

weka mke ndani we unatafuta yeye anakigenge hapo home
Move za kikorea Zinazingua watu sn, demu la tandika, manzese, majimatitu kwa mtogole yeye anawaza kuwahi buguruni kuchukua vichwa vya kuku, utumbo, ngozi na miguu yake akaange, ukimwambia sijui morning glory anaweZa kukutukana dadeki
 
Duh..kwa usawa huu sidhani kama utapata mke wa hivyo.!
Labda watakuwa kwenye ile sayari nyingine.
Walikuagepo enzi za mwalimu Nyerere ila siku hizi walishazeeka wengine walikufaga sa ivi wamebaki hawa wa haki sawa.
Mimi mke wangu ndio yuko hvyo.
Inategemea umeenda kuoa wapi,Kama umeoa kwa wachaga huwez kupata hivyo vitu.
 
Back
Top Bottom