mordem (SAFARICOM)

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Natumia mordem ya Safaricom huwa naitumia mara kwa mara ... Tatizo ni kwamba kuna mda inaweza kukataa hata kupandisha sign za network ,,, fisrst time nikajua ni tatizo la mtandao .kumbe sio. Na huwa na haribu kwa line zote lakini wP .na itanchukua muda sana mpaka kuja kukubali . Je tatizo nn ..
Help kwa ufumbuzi.
 
Back
Top Bottom