Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,587
- 19,838
Kweli kbsa mkuuNdo maana wanaume wa humu wameumia maana jamaa kaonyesha kuwazidi kete katika kumshawishi mwanamke,, Ni vyema wakamuombe mbinu na ushauri,, harmo katika hili kaonyesha uanaume haswaa, aibu na dhihaka aliyopitia ni kubwa mno lakini alisimamia alichokitaka na kakipata
😂😂 Hapo umechemka mkuuAlifanya vile kibiashara jina lake liendelee kua midomoni mwa watu ili aendelee kupata deals.
Na kajala alivoona hata yeye atanufaika basi akakubali na watu kama wewe mleta uzi ndio walengwa na kawapata kweli.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 this is laughable. someone marrying damaged goods ndio waku mu admire??!!! kwa kweli sasa naanza kuamini bible, vibaya vitaonekana vizuri mbele ya macho ya mwanadamu.Ndo maana wanaume wa humu wameumia maana jamaa kaonyesha kuwazidi kete katika kumshawishi mwanamke,, Ni vyema wakamuombe mbinu na ushauri,, harmo katika hili kaonyesha uanaume haswaa, aibu na dhihaka aliyopitia ni kubwa mno lakini alisimamia alichokitaka na kakipata
Like Putin like Zelensky. .....😂😂😂Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa.Licha ya Harmonize kupitia changamoto nyingi hakika amefanikiwa kumrudisha Kajala kwenye himaya yake tena. Licha ya kukataliwa na kublokiwa kwenye mitandao ya kijamii hakika Harmonize aliendelea kumlilia Kajala Ili aweze kurudiana naye.
Ukiachilia mbali muda mwingi aliotumia Harmonize katika kuiteka Nafsi ya Kajala,pia ametumia gharama kubwa Sana ili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Koh kok Koh Koh ..... Yaw yaw .
Narudia tena.. kuna mambo huwezi fanya mpaka uvute kitu yani big up Tembo mnyamaHayawi hayawi hatimaye yamekuwa.Licha ya Harmonize kupitia changamoto nyingi hakika amefanikiwa kumrudisha Kajala kwenye himaya yake tena. Licha ya kukataliwa na kublokiwa kwenye mitandao ya kijamii hakika Harmonize aliendelea kumlilia Kajala Ili aweze kurudiana naye.
Muacheni Robert jaman[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] this is laughable. someone marrying damaged goods ndio waku mu admire??!!! kwa kweli sasa naanza kuamini bible, vibaya vitaonekana vizuri mbele ya macho ya mwanadamu.
Kwa kweli jamaa anafaidi ule mtako 🤣🤣🤣🤣Muacheni Robert jaman
Ndio nimesikia hivyo . Hivi nyie wanaume mnapopoa sana jamaa au mnaona wivu anaenda kujimilikisha zigo lile heheeKwa kweli jamaa anafaidi ule mtako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Robert ndio jina lake jipya?
Watu wengi tu zama hizi wanaingia kwenye mahusiano kimaslahi hivyo hamna ajabu hapo.Alifanya vile kibiashara jina lake liendelee kua midomoni mwa watu ili aendelee kupata deals.
Na Kajala alivoona hata yeye atanufaika basi akakubali na watu kama wewe mleta uzi ndio walengwa na kawapata kweli.
U nailed it mate! It is unfathomable that a man so talented, so loaded will, with his conscious mind change his religion to just marry a woman who he can easily keep shagging without the need to change his religionNitapigania njia yeyote nipate hela na kufanikiwa LAKINI sio kufukuzia mwanamke, kwake hamo amewin lakini kwangu mie ni UJINGA na siwezi poteza muda kwa mambo kama hayo, we kapuku mwenzangu wa hapo Nyakanazi utaweza kuhonga mamilioni ya pesa ili kumpata mwanamke, Kajala kamkubalia jamaa coz jamaa kwenye gemu anakuja vyema bila kusahau material things jamaa kagharamia.
In a world where women outnumber men siwezi fanya huu upuuzi, wanawake ni wengi sana.