Hi Wadau!
Natumai hamjambo, kuna wimbo mmoja wa Monika Seka sijui unaitwaje ila nakumbuka kuna sehemu anaimba "guantanamera guantanamera....." naomba kwa mdau yoyote alionao aupload au aweke link yake niweze kudownload.
Aksanteni.
Mkuu, nimepitia kwenye hiyo link lakini sijaupata, aksante. Ni wa zamani kidogo na kwenye harusi nyingi huwa unapigwaJaribu kuangalia kwenye Link hii hapa huenda utaona jina www.rahatz/music/afro/mp3/monique_SEKA.html