Mongol Empire: Jeshi katili zaidi katika historia ya vita

Mkuu ni kweli samurai walikuwa brutal pia ila sidhani kama samurai waliwahi chinja watu million 40!! Au kutumia mbinu ovu kama hizo za mongols ili kutuma ujumbe kwa mataifa mengine..... In short hao japan wangepokea kichapo kama sio "tsunami" ya kamikaze iliyozamisha meli za Mongolia ndio ilisababisha wasiendelee na uvamizi maana hawakuwa tena na farasi wa kutosha na supply ya silaha na mahitaji mengine kutoka china+korea..... Naomba ieleweke Mongolia ndio utawala mkubwa zaidi (ardhini) katika historia ya dunia hivyo hao japan sidhani kama hii feet wangeweza ifikia kwa hao samurai ambao ilitakiwa mpaka wawe one on one ndio wapigane ilihali mongols anakutungua na mishale akiwa mita kadhaa mbali..... Bado sijawa convinced hawa samurai wana uwezo kuliko mongols
Geography, the will and the spirit of the Japanese is what kept the Mongols at bay. Wote tunajua spirit ya waJapan katika vita, mfano WW2 licha ya washirika wake(German&Italy) kubwaga manyanga the Japanese kept the fight. If it weren't for that atomic misery perhaps the war could have been longer than expectes. All that's due to the spirit and courage of these peoples of Japan have. On the issue of the Mongols sishangai kushindwa na waJapan
 
Hata isingekua kifo cha kiongozi wao mkuu wa Mongolia kuna nchi za Ulaya magharibi, pamoja na uchache wa watu na udogo Kijiografia naamini wasingeweza kutoboa
 
Kama kweli walikuwa wababe mbona leo ni vibonde tu wa dunia simnasemaga jasiri haachi asili mbona wamebakia kuwa loosers ...hizo ni fiction tu kama zilivyo fiction nyingine
Kila kitu kina wakati wake mkuu china tu miaka 100 iliopita ilikuwa moja ya nchi maskini zaidi duniani ila leo hii inaongoza kwa uchumi duniani..... Nani angeweza kutabiri haya??

Utawala wowote mzuri ukikosa usimamizi na consistency kwa kuwa na strategic plan za muda mrefu zikiongozwa na kuaandaa viongozi wakurithi mapema lazima zife kwa mfano Mongol empire baada ya Genghis Khan kufa hapo kati walianza kupigania utawala na mwisho wa siku kuigawa ufalme kwa vipande vipande ikawafanya wawe weak mwishowe ikapelekea anguko lao.
 
So ipo gku Africa nayo itashika hatam???
 
images-67-jpg.901259
Hilo Jeshi...liliogopa nini India na Afrika...maana hawakushuka kabisa kwenye maeneo ya Ikweta.
 
Kama ni hvyo mbona nchi nyingi za ulaya magharibi zinadunda tu hadi leo...hao (mongolis) hawajawahi kuwa watabe wa dunia nadhani hata kuku hawajawahi kuua
 
Kama kweli walikuwa wababe mbona leo ni vibonde tu wa dunia simnasemaga jasiri haachi asili mbona wamebakia kuwa loosers ...hizo ni fiction tu kama zilivyo fiction nyingine
Umeonyesha uelewa mdogo sana wa masuala ya historia.

Mongolia kua losers leo haifuti historia yao ya ubabe na kuitawala dunia kwa kipindi hicho cha nyuma.

Ulikuepo utawala wa Roma ukaanguka. Mwingereza akaishika dunia akaanguka. Ujerumani akawa mbabe wa ulimwengu na akaanguka.

Hapo hatujapitia historia ya USSR, Japan na wababe wengine wa wakati huo. One thing is for sure, nothing lasts forever!

Hata hawa wababe wa sasa ipo siku wataanguka na kubaki kua historia. Ilianguka Babylon, sembuse Mongolia?

Hebu soma kwanza historia kabla ya kuijadili.
 
Hao wote uliowataja hapo hawako weak kiasi hicho kama ilivyo Mongolia ya leo bado narejea hizo ni fiction tu atleast tungeona hata masalia salia ya utata wao...tazama watata kama israeli ni mwendo mdundo mpk kesho sasa nyie mnaleta stori za kwenye kahawa
 
Tunaongelea habari za mika zaidi ya elfu moja iliyopita, wewe unaongelea Israel iliyoundwa juzi kwa kuwavamia waparestina.

Ni lazima useme fictions!

I rest my case!
 
Wewe kweli fikra zako ndogo ...israel ni ya leo !!! .yaani ulichowaza ni hii mipaka ya kijografia ya majuzi kati ...waisraeli na wapelestina wamekuwepo kitambo na kitambo wewe eti umeona creation ya israeli ya mwaka 48 ndo umekimbilia kunijibu...hayo mataifa mengi niliyokutajia yamekuwa mababe miaka na miaka kinachobadilika ni jina tu lkn bdo ni taifa lile lile tu mfano leo ataitwa juma,kesho ataitwa yohana na kesho kutwa ataitwa abdul lkn origin yake ni juma yule yule ...narudia kwa mara nyingine tena endelea kusoma hizo fiction utuletee tena na tena
 
Have a nice weekend mkuu!
 
Hilo Jeshi...liliogopa nini India na Afrika...maana hawakushuka kabisa kwenye maeneo ya Ikweta.
Hapana India geography yake ni ngumu sana kupambana huko.... Mito kibao na misitu misitu isiyopitika ukizingatia walikuwa wanatumia tembo vitani walikuwa wameshindikana hata alexander the great licha ya ubabe wake huku alipashindwa sababu ya geography yake ni changamoto sana.

Kuhusu Afrika sio kwamba waliogopa ila jeshi lao lilipokuw linajitanua kupitia mashariki ya kati walizuiwa na jeshi la Mamluks huko Israel ila kama wangeshinda pale basi Afrika ingeteketezwa bila shaka maana wakati huo mataifa kama ethiopia hayakuwa tishio kivile tena
 
So ipo gku Africa nayo itashika hatam???
Mbona ilishawahi mkuu zamani kidogo Kush empire ilitawala mpaka mashariki ya kati ambayo ndio ilikuwa kitovu cha dunia ya kale hivyo naamini ipo siku tutaitawala tu dunia.
 
Kama ni hvyo mbona nchi nyingi za ulaya magharibi zinadunda tu hadi leo...hao (mongolis) hawajawahi kuwa watabe wa dunia nadhani hata kuku hawajawahi kuua
Nchi gani hizo mkuu nitajie hapa tuzidadavue..... Hivi Austria empire ya enzi za Prince metternich leo hii utaamini iliwahi kuwa mbabe wa ulaya?? Vipi French empire ya napoleon ilivyonyooshwa na mjerumani mara tatu mfululizo yaani 3-0 kuanzia franco prussian war mpaka world wars zote mbili hivi ungetegemea?? Labda unitajie hizo empire ambazo hazijachuja alafu tupitie historia upya tupate uhakika.
 
Hawa jamaa habari zao ni nzito sana. Kuna mwanachuoni mmoja ameelezea habari zao kwa urefu sana.

Anasema mwanachuoni huyo "Kimepita kitambo kirefu sana,nikiwa ninasita kuelezea maovu na mauwaji waliyoyafanya Wamongoli (Tartari) ,katika historia ya binadamu hapajawahi kutokea mauaji kama hayo na hayatakuja kutokea" .Au kama alivyosema mwanachuoni huyi.

Narudi ......
 
Back
Top Bottom