Cha kwanza ni lazima tufahamu what is education and what is money
Elimu ni set of doctrine, maarifa,philosophy,methodology nk ambazo watu wengine wametaarisha,
na hao waloitaarisha elimu chanzo chao hawakuwa na elimu ilikuwa ni watu walokuwa na uhuru wa kufikiri, kwa mana ukiwa na elimu unakuwa huna uhuru wa kufikiri, inabidi ufikiri kwenye misingi ya elimu yako ambayo ndio inayokupa ufahamu wa kila kitu
Nnachojaribu kusema hapa ni kwamba kuwa na elimu sio kutokuwa mjinga,unaweza kuwa huna elimu na ukawa na uwezo wa kuaanzisha elimu that’s how education started
Now money
Money controls everything and everyone,money is an invisible controller that has its grip on everything and everyone
Without money life is almost impossible that’s how much money controls it’s subjects.
The idea of super powers that create governments and monarchy their foundation is money they put people with education to protect and serve the government and monarchy.
What’s this means is that educated people are just slaves in reality, waiting to serve their purpose after getting aducation .
Mi ntaishia hapa