Money Transfer Contral Number(MTCN)

mkalenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
290
Reaction score
23
Habar wakuu, nilikua naomba kujuzwa kama inawezekana kwa namna yeyote kutoa hela uliyo tumiwa kwa njia ya WESTERN UNION bila MTCN.
 
Mwambie aliyekutumia akupe na control number vinginevyo itakula kwako.
 
Kwani control number ndo number ya siri?

Siri katika utumaji wa hela kwa western Union inajumuisha Control number, Swali na jbu pamoja na kiasi kilichotumwa. Hivyo vyote lazima viwe sahihi ili upewe hela yako.
 
Hapo mkuu nimekupata,pia nashukuru sana
 
Siri katika utumaji wa hela kwa western Union inajumuisha Control number, Swali na jbu pamoja na kiasi kilichotumwa. Hivyo vyote lazima viwe sahihi ili upewe hela yako.

kwani ni lazima umtumie postal address?
 
kwani ni lazima umtumie postal address?
Siyo lazima, ila pesa inapokelewa posta. Vitambulisho kama cha Kura, kazini, shule au chuo nk hutumika kwa aliyetumiwa ili kupata pesa yake.
 
mi nimemtumia jina langu liliko kwenye kitambulisho cha BIMA bila shaka nitapata hela yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…