Money makers

p_junior

Member
Jan 21, 2019
5
6
Pesa inaweza nunua vitu vingi sana lakini si furaha
FB_IMG_15664201415620789.jpeg
 
Kauli zetu hz mafukara katika kujifariji hv kuna furaha zaidi ya kuweza kuitunza familia yako ikawa na amani? yaani ada za watoto zimelipwa umeme sijui umewekwa wa kutosha chakula kipo hadi kinabaki biashara mtu zinakuendea vzr mkeo kila anachotaka unampatia kwa kua pesa ipo hata penzi utakalopewa humo ndani sio la mchezo kwa kua yuko hapy hana stress za wazazi wake sijui hawana mbolea huko shamba wala mmoja wao anaumwa maana washajengewa wanalima kilimo cha kisasa huko maisha mazuri hata kuja kuja mjini hutasikia kujakuja mjini hawa wazee asilimia kubwa ni dhiki jpo wapo ambao kweli wanakuja kusalimia na kwenda zao watoto nao wanasoma shule za maana week end mtoko sehem quality sio coco ndani ya ndinga sio DCM kupakana jasho achana na pesa bandugu itategemea tu unaitumia vp ila pesa pesa pesaaaaaa acha tu itwe pesa tufanye kazi tuache kauli za kishujaa!
 
Kama ulikua unawaza kichwani mwangu tena kwa sauti

Back
Top Bottom