Money Heist VS Squid Game

Nimebahatika kuziangalia hizi zote, kitu cha kwanza kabisa, hazifanani, ni muvi tofauti ila ukija kwenyr uandishi, huyu aliyeandika hii Squid Game, ameiandika kiuandishi kabisa.

Muvi A: Series ya Money Heist inaanza vizuri sana, inakufanya uvutike na kutamani kuiangalia zaidi lakini baadaye, udhaifu unaonekana waziwazi, muvi inaanza kukaa kitoto, kuna matukio ambayo ni very simple kutokea, mwandishi akiyaandika kirahisi sana.

Duniani, pesa hazilindwi sana kama karatasi za kutengenezea pesa. Ni bora uingie benki ya dunia uibe mabilioni ya dola lakini si karatasi za kutengenezea pesa, hizo zina ulinzi mkubwa mno kwani ukifanikiwa kuzipata, wewe ni bilionea. Lakini kwenye hii series, yaani watu wanaingia kirahisi sana, huo ni udhaifu wa kwanza, halafu wa pili, watu wanaanza kuingizia mapenzi humohumo.

Jaribu kufikiri tu, sehemu kama hiyo ambayo inatakiwa milango yako yote ya fahamu iwe wazi, kinatokea kitu kama hicho, kiuhalisia, hamna kitu kama hicho.

Tokyo alibahatika kuondoka, akatoka humo, kilichotokea baadaye, akarudi tenayaani very simple tu, ni kitu abacho hakiwezi kutokea hata kidogo.

Ukifuatilia yule mama aliyekuwa akifuatilia hilo suala, naye alikuwa na udhaifu mkubwa. Hafuatilii kama mfuatiliaji, anafuatilia kama muigizaji na ndiyo maana watu wanasema kama kazi ya kumfuatilia angepewa Mahon wa Prison Break, series ingeishia season ya kwanza tu.

Nimeangalia muvi nyingi za kipelelezi, ila sijamuona mtu anayefuatilia kesi kama yule mama, mwandishi amekuwa dhaifu sana upande huo, hakutaka kumpa nguvu, alimpa nguvu Profesa.

Tazama Prison Break, Scofield alikuwa na akili sana, naye Mahon alikuwa na akili mno, alipewa nguvu sana na mandishi na ndio maana wakisumbuana sana.

Kwa Rate, kule IMBD nimeweka 6/10.

Nakuja kuichambua na Squid Game.

Uandishi wa Squid Game nineupenda sana. Kabla ya kumpa character nguvu kwanza tuambie kwa nini anapewa hizo nguvu.

Hii series imezungumzia zaidi mtu masikini, mwenye madeni ambaye hawezi kuyalipa, ili kuyalipa, anakuwa tayari kufanya lolote lile kwa ajili ya pesa.

Watu wenye madeni wamechukuliwa na kuwekwa sehemu moja. Kila mtu mbali na madeni, ana matatizo binafsi, huyu mama yake mgonjwa, yule hivi na vile.

Hapo mtazamaji unaona kabisa huyu mtu anahitaji pesa. Michezo ambayo wameicheza, ni kweli inasumbua kichwa, mbele ya bastola, huku ukiwa unatetemeka, unaambiwa uufanye mtihani fulani.

Hii muvi imenikumbusha muvi nyingi kama Escape Room na Saw. Games walizocheza ni za utotoni, ila kwa kipindi hiki zimejaa hatari.

Vitu ambavyo vimeifanya series hii kupendwa ni namna michezo ilivyochezwa, ukatili uliofanyika na hata mwisho kugundua babu ndiye mratibu, ni kitu ambacho hakuna mtu yeyote aliyehisi hilo.

Dhima kubwa ya series hii ni kukuonyesha mtu mwenye matatizo ya pesa, yupo tayari kufanya lolote lile ilimradi kupata pesa hata kama litagharimu maisha yake.

Endapo hii series ingetoka mwaka 2008 ilivyoandikwa, isingevutia kama sasa hivi kwa kuwa bado hatukuwa na muvi za namna hii, ila kwa sasa ni lazima tuipende kwa kuwa tumeona vitu ambavyo tumeviona kwenye Escape Room, Saw na nyinginezo.

Kwa kule IMBD nimeipa Rate ya 7/10.View attachment 1966185
Umeongelea mapenzi kwenye money heist mbona kwenye squid game jamaa baada ya kumaliza game akaenda kupewa uchi chooni
 
Andiko la NYEMO CHILONGANI hili... Mkuu jifunze kutoa credit, inawezekana we hujaangalia hata moja hapo lakin umelibandika hapa km we ndo ulieona na kutoa uchambuzi wako

MY TAKE
Edit post yako umpe credit kijana NYEMO
Naomba utupe information ameandika wapi nikamfollow
 
Squid Game: 10/10
One of the best series of all time. Hii imenikumbusha sana Ile movie Parasite. Zote zipo perfectly made.
Nimebahatika kuziangalia hizi zote, kitu cha kwanza kabisa, hazifanani, ni muvi tofauti ila ukija kwenyr uandishi, huyu aliyeandika hii Squid Game, ameiandika kiuandishi kabisa.

Muvi A: Series ya Money Heist inaanza vizuri sana, inakufanya uvutike na kutamani kuiangalia zaidi lakini baadaye, udhaifu unaonekana waziwazi, muvi inaanza kukaa kitoto, kuna matukio ambayo ni very simple kutokea, mwandishi akiyaandika kirahisi sana.

Duniani, pesa hazilindwi sana kama karatasi za kutengenezea pesa. Ni bora uingie benki ya dunia uibe mabilioni ya dola lakini si karatasi za kutengenezea pesa, hizo zina ulinzi mkubwa mno kwani ukifanikiwa kuzipata, wewe ni bilionea. Lakini kwenye hii series, yaani watu wanaingia kirahisi sana, huo ni udhaifu wa kwanza, halafu wa pili, watu wanaanza kuingizia mapenzi humohumo.

Jaribu kufikiri tu, sehemu kama hiyo ambayo inatakiwa milango yako yote ya fahamu iwe wazi, kinatokea kitu kama hicho, kiuhalisia, hamna kitu kama hicho.

Tokyo alibahatika kuondoka, akatoka humo, kilichotokea baadaye, akarudi tenayaani very simple tu, ni kitu abacho hakiwezi kutokea hata kidogo.

Ukifuatilia yule mama aliyekuwa akifuatilia hilo suala, naye alikuwa na udhaifu mkubwa. Hafuatilii kama mfuatiliaji, anafuatilia kama muigizaji na ndiyo maana watu wanasema kama kazi ya kumfuatilia angepewa Mahon wa Prison Break, series ingeishia season ya kwanza tu.

Nimeangalia muvi nyingi za kipelelezi, ila sijamuona mtu anayefuatilia kesi kama yule mama, mwandishi amekuwa dhaifu sana upande huo, hakutaka kumpa nguvu, alimpa nguvu Profesa.

Tazama Prison Break, Scofield alikuwa na akili sana, naye Mahon alikuwa na akili mno, alipewa nguvu sana na mandishi na ndio maana wakisumbuana sana.

Kwa Rate, kule IMBD nimeweka 6/10.

Nakuja kuichambua na Squid Game.

Uandishi wa Squid Game nineupenda sana. Kabla ya kumpa character nguvu kwanza tuambie kwa nini anapewa hizo nguvu.

Hii series imezungumzia zaidi mtu masikini, mwenye madeni ambaye hawezi kuyalipa, ili kuyalipa, anakuwa tayari kufanya lolote lile kwa ajili ya pesa.

Watu wenye madeni wamechukuliwa na kuwekwa sehemu moja. Kila mtu mbali na madeni, ana matatizo binafsi, huyu mama yake mgonjwa, yule hivi na vile.

Hapo mtazamaji unaona kabisa huyu mtu anahitaji pesa. Michezo ambayo wameicheza, ni kweli inasumbua kichwa, mbele ya bastola, huku ukiwa unatetemeka, unaambiwa uufanye mtihani fulani.

Hii muvi imenikumbusha muvi nyingi kama Escape Room na Saw. Games walizocheza ni za utotoni, ila kwa kipindi hiki zimejaa hatari.

Vitu ambavyo vimeifanya series hii kupendwa ni namna michezo ilivyochezwa, ukatili uliofanyika na hata mwisho kugundua babu ndiye mratibu, ni kitu ambacho hakuna mtu yeyote aliyehisi hilo.

Dhima kubwa ya series hii ni kukuonyesha mtu mwenye matatizo ya pesa, yupo tayari kufanya lolote lile ilimradi kupata pesa hata kama litagharimu maisha yake.

Endapo hii series ingetoka mwaka 2008 ilivyoandikwa, isingevutia kama sasa hivi kwa kuwa bado hatukuwa na muvi za namna hii, ila kwa sasa ni lazima tuipende kwa kuwa tumeona vitu ambavyo tumeviona kwenye Escape Room, Saw na nyinginezo.

Kwa kule IMBD nimeipa Rate ya 7/10.View attachment 1966185
 
Money heist ni series ya watoto full stop huwez kuvamia sehem kama ile ukawa unacheza cheza hivi wale characters ni wa kukaa wiki kweny mjengon bila kukamatwa 😂😂😂 utoto mtupu
 
Dah Squid Game nimelianza jana Money Heist ilikuwa bora pale mwanzo Professor alikuwa mchanganuaji kweli wa mambo lkn sasa imekuja kiovyoo sana je QUEEN OF THE SAUTH .Lakini Squid Game inanitia mashaka haya mambo yapo Duniani wale maiti wanakatwa viungo vyote muhimu baadae nafikiri wanawawachoma moto hakuna sijamaliza naendelea na burudani langu nilikua naangalia HOUSE OF CARDS nimeliacha kwanza ni siasa tu lkn kuna mauwaji ni kweli wana siasa kuua ni jambo la kawaida tu.
House of Cards ni nzuri.
 
Ni upuuzi kusema movie uliyopenda itawapendeza wote..
Ukweli Ni kwamba series Bora za muda wote ..Ni The wire .. Game of thrones na Breaking bad..
Lakini tukiulizana hapa Jf Kama wote tunazipenda series hizi tatu..
Watapaitikana wachache watakaozipenda zote..
Tusilete ujuaji usio na maana yeyote Kila mtu na taste yake..
 
Umesema ukwel mkuu maana mm apo ningeweka GOT Breaking bad na 24
 
pole inaonrkana ukuelewa vizuri io money heists,

Anyway sio lazima upende kila series
mkuu ni kwel upo sahihi lakn inapokuja kweny uvamizi mkubwa kama ule inaitaj mtu smart ukiachana na character ya professor wale characters wooote hakuna anae weza kukaa kweny lile jengo kwa siku mbili tu impossible ludi kaone kwa Mala nyingine utaona utoto mwingi sana nenda kaangalie 24 utajua nn namaanisha
 
Nimebahatika kuziangalia hizi zote, kitu cha kwanza kabisa, hazifanani, ni muvi tofauti ila ukija kwenyr uandishi, huyu aliyeandika hii Squid Game, ameiandika kiuandishi kabisa.

Muvi A: Series ya Money Heist inaanza vizuri sana, inakufanya uvutike na kutamani kuiangalia zaidi lakini baadaye, udhaifu unaonekana waziwazi, muvi inaanza kukaa kitoto, kuna matukio ambayo ni very simple kutokea, mwandishi akiyaandika kirahisi sana.

Duniani, pesa hazilindwi sana kama karatasi za kutengenezea pesa. Ni bora uingie benki ya dunia uibe mabilioni ya dola lakini si karatasi za kutengenezea pesa, hizo zina ulinzi mkubwa mno kwani ukifanikiwa kuzipata, wewe ni bilionea. Lakini kwenye hii series, yaani watu wanaingia kirahisi sana, huo ni udhaifu wa kwanza, halafu wa pili, watu wanaanza kuingizia mapenzi humohumo.

Jaribu kufikiri tu, sehemu kama hiyo ambayo inatakiwa milango yako yote ya fahamu iwe wazi, kinatokea kitu kama hicho, kiuhalisia, hamna kitu kama hicho.

Tokyo alibahatika kuondoka, akatoka humo, kilichotokea baadaye, akarudi tenayaani very simple tu, ni kitu abacho hakiwezi kutokea hata kidogo.

Ukifuatilia yule mama aliyekuwa akifuatilia hilo suala, naye alikuwa na udhaifu mkubwa. Hafuatilii kama mfuatiliaji, anafuatilia kama muigizaji na ndiyo maana watu wanasema kama kazi ya kumfuatilia angepewa Mahon wa Prison Break, series ingeishia season ya kwanza tu.

Nimeangalia muvi nyingi za kipelelezi, ila sijamuona mtu anayefuatilia kesi kama yule mama, mwandishi amekuwa dhaifu sana upande huo, hakutaka kumpa nguvu, alimpa nguvu Profesa.

Tazama Prison Break, Scofield alikuwa na akili sana, naye Mahon alikuwa na akili mno, alipewa nguvu sana na mandishi na ndio maana wakisumbuana sana.

Kwa Rate, kule IMBD nimeweka 6/10.

Nakuja kuichambua na Squid Game.

Uandishi wa Squid Game nineupenda sana. Kabla ya kumpa character nguvu kwanza tuambie kwa nini anapewa hizo nguvu.

Hii series imezungumzia zaidi mtu masikini, mwenye madeni ambaye hawezi kuyalipa, ili kuyalipa, anakuwa tayari kufanya lolote lile kwa ajili ya pesa.

Watu wenye madeni wamechukuliwa na kuwekwa sehemu moja. Kila mtu mbali na madeni, ana matatizo binafsi, huyu mama yake mgonjwa, yule hivi na vile.

Hapo mtazamaji unaona kabisa huyu mtu anahitaji pesa. Michezo ambayo wameicheza, ni kweli inasumbua kichwa, mbele ya bastola, huku ukiwa unatetemeka, unaambiwa uufanye mtihani fulani.

Hii muvi imenikumbusha muvi nyingi kama Escape Room na Saw. Games walizocheza ni za utotoni, ila kwa kipindi hiki zimejaa hatari.

Vitu ambavyo vimeifanya series hii kupendwa ni namna michezo ilivyochezwa, ukatili uliofanyika na hata mwisho kugundua babu ndiye mratibu, ni kitu ambacho hakuna mtu yeyote aliyehisi hilo.

Dhima kubwa ya series hii ni kukuonyesha mtu mwenye matatizo ya pesa, yupo tayari kufanya lolote lile ilimradi kupata pesa hata kama litagharimu maisha yake.

Endapo hii series ingetoka mwaka 2008 ilivyoandikwa, isingevutia kama sasa hivi kwa kuwa bado hatukuwa na muvi za namna hii, ila kwa sasa ni lazima tuipende kwa kuwa tumeona vitu ambavyo tumeviona kwenye Escape Room, Saw na nyinginezo.

Kwa kule IMBD nimeipa Rate ya 7/10.View attachment 1966185
Kitu kilichoniondoa kwenye uhalisia kwenye Money Heist ni uwezo mkubwa wa kijeshi waliokuwa nao wahusika, wakati hawajapitia mafunzo yoyote ya kijeshi. Kuna yule dada katoka kuwa secretary wa bank hadi kupigana kikomando bila mafunzo yoyote. Mtu kama Rio anatoka kuwa computer programmer mara tayari anacheza na rocket propoller bila mafunzo yoyote. Pale mwenye taaluma ya kijeshi ni Helsinki tu. Ila inaonekana waandishi walilenga zaidi hadhira ya vijana so wangeweka character watu wazima story line isingevutia kwa vijana. Ila uhalisia haukuwepo kabisa kwa hilo. Mtu lazima umjenge kimawazo kuhusu uwezo binafsi wa character kabla ya kumpa majukumu na ndio maana holywood wanatumia ex navy seal, ex CIA, veteran nk katika kuwanadi makomando wao.
 
Ni upuuzi kusema movie uliyopenda itawapendeza wote..
Ukweli Ni kwamba series Bora za muda wote ..Ni The wire .. Game of thrones na Breaking bad..
Lakini tukiulizana hapa Jf Kama wote tunazipenda series hizi tatu..
Watapaitikana wachache watakaozipenda zote..
Tusilete ujuaji usio na maana yeyote Kila mtu na taste yake..
Binafsi last ship,prison break na got ndio series zangu bora kabisa,kuna jamaa yangu umuambii kitu kwenye homeland while naiona series ya kawaida sana ila ndio hivyo kila mtu na muono wake na aipendezi mtu akulazimishe akitakacho yy au umlazimishe unachotaka wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom