Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,039
- 6,918
Kama unapata time ya kusoma vitabu mzee tafuta book inaitwa song of ice and fire ukikisoma njo Sasa ucheki GoT nazan utakuwa mtumwa wa hii series kuliko mmNitajie vitu vitatu tu ulivyovipenda kwenye hii series na kwanini ni Bora kuliko series zote?
Nisaidie hiyo telegram channel nami nipakue ila iwe na English. SubtitlesNimeidowload kwenye chanel za telegram huko ma mb kama yote aisee imenilia bando si mchezo
Nisaidie hiyo Link madamMbon nying zina sub za eng??
Ushapata?
Kuna link hapo juu chukua
Me nimeiona hiyo series sijaoina ubora wake kabisa merlin na boewolf Zina story nzuri na matukio ya kuvutia kwa series za aina ya porini kuliko hiyo.Kama unatapata time ya kusoma vitubu mzee tafuta book inaitwa song of ice and fire ukikisoma njo Sasa ucheki GoT nazan utakuwa mtumwa wa hii series kuliko mm
Mkuu jaribu kuanza nayo season 1 ukimaliza season 1 yote utakuja kutuomba radhi na utajuta ulikuwa wap mda wote Fanya kujilazimisha season 1 iki kushinda bac 🙄🙄😴Me nimeiona hiyo series sijaoina ubora wake kabisa merlin na boewolf Zina story nzuri na matukio ya kuvutia kwa series za aina ya porini kuliko hiyo.
8 ila content wameishiwaDuuh? Ina episode ngapi season 4
Soma coment dear..zipo hapo juu
Nairobi ashafariki..Done with season 4...
Waiting for NAIROBI season 5