Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,134
Mkuu labda unaingalia kwa wasi wasi. Mipango yake kadha wa kadha imewahi kufeli. Lakini kuwa na backup plan inamsaidia saanProfessor kila Jambo analopanga anafanikiwa hapo ndo umefanya uhondo upungue honest sijaipenda hii series
Unaongelea siku chief.. hawa jamaa wangekamatwa masaa mawili ya kwanza tu..If elexander Mahon ndio angekuwa anawatafuta hawa kina professor uchwara and his accomplice wote wangekamatwa ndani ya siku mbil tuuuu View attachment 1407786
Game of thrones umeipendea Nini?Mwanzo nilikua nailkubali money heist lakini wanakoelekea imekua kama movie ya kikorea..
Movie zilizobaki kali kwangu ni.
1. GOT
2. LOST
3. 24
4. Prison break.
5. Seal team
6. Breaking bad
Kwani movie za Korea zinakuaje?Mwanzo nilikua nailkubali money heist lakini wanakoelekea imekua kama movie ya kikorea..
Movie zilizobaki kali kwangu ni.
1. GOT
2. LOST
3. 24
4. Prison break.
5. Seal team
6. Breaking bad
Ina story kali sana.. na story yake ina nyama ya kutosha.. ukiangalia characters wakuu wa GOT kalibia kila mmoja unaweza kumtungia series yake na ikanoga.. mfano Jon snow , aria , queen wa dragons n.kGame of thrones umeipendea Nini?
Movie za kikorea hawako staight.. yaani kama bongo movie.. unakuta kitu kidogo wanatumia hata dk 20.. ndio money heist imevyokuwa.. story ndoogo wanapiga hata kwa dk 5 sababu hawana content.Kwani movie za Korea zinakuaje?
Hiyo series haina ubora wowote boewolf na Merlin zina maudhui mazuri kuliko hata hiyo sema tu mnapenda kwasababu Ina ngono.Ina story kali sana.. na story yake ina nyama ya kutosha.. ukiangalia characters wakuu wa GOT kalibia kila mmoja unaweza kumtungia series yake na ikanoga.. mfano Jon snow , aria , queen wa dragons n.k
Yaani ni series flani iliyoshiba na unaona kabisa director kaumiza kichwa kufanya kitu ... yaani hata ukianza na kusoma novel yake huwezi kuwa dissapointed kwenye movie..
Unlike movie nyingine zilizotungwa based on stories kutoka kwenye vitabu..mfano angels & deamons ,harry potter nk.. GOT hata ukianza kusoma novel bado movie utaipenda.
Tungekiwa tunataka ngono si website za porn zimejaa tena mb zako 500 unaangalia hadi unachoka... angalia kwenye list yangu kama kuna series nyingine ina mambo hayo..Hiyo series haina ubora wowote boewolf na Merlin zina maudhui mazuri kuliko hata hiyo sema tu mnapenda kwasababu Ina ngono.
Ni nzuri hii series?
Nipo Season ya 1 episode 5 sijui kwanini bado haijanikamata naiangalia kiuvivu sana.
Nakuunga mkono sababu kuu mojawapo sijaipenda money heist ni hiyo uliotaja ndomaana sitajiangaisha kabisa kuiangalia season 4.Movie za kikorea hawako staight.. yaani kama bongo movie.. unakuta kitu kidogo wanatumia hata dk 20.. ndio money heist imevyokuwa.. story ndoogo wanapiga hata kwa dk 5 sababu hawana content.
Na nimejua Hilo cos umeshindwa kunitajia sababu ya msingi ya wewe kusema hiyo ni best series.Tungekiwa tunataka ngono si website za porn zimejaa tena mb zako 500 unaangalia hadi unachoka... angalia kwenye list yangu kama kuna series nyingine ina mambo hayo..
Inawezekana kichwani kwako unawaza ngono tu ndio maana ukiona GOT unachoona ni ngono tu sio kingine...
Btw mimi ngono kwenye movie haijawahi kuwa criteria ya uzuri wa movie..Na nimejua Hilo cos umeshindwa kunitajia sababu ya msingi ya wewe kusema hiyo ni best series.
Wakati hii series sijaoina watu waliipamba Kama vile wanavyoipamba money heist lakini nilivyokuja kuiona hamna series pale Merlin na boewolf Zina matukio yakuvutia sana hata kama sio mpenzi wa series za porini unavutiwa nazo lakini sio GOT Kama wewe ni mpenzi mzuri wa series nzuri uwezi kuiita GOT ni best seriesBtw mimi ngono kwenye movie haijawahi kuwa criteria ya uzuri wa movie..
Nimekutajia sababu zangu lakini naona wewe ulikua na sababu zako kichwani ndio maana hujanielewa.
GOT nimeanza kuiangalia mwaka 2014 wakati nimeishiwa series za kuangalia. Bila kushawishiwa na mtu ikawa moja ya series bora kwangu ... mwanzo prison break ilikua inashika namba moja lakini GOT ikaja kushika 1..Wakati hii series sijaoina watu waliipamba Kama vile wanavyoipamba money heist lakini nilivyokuja kuiona hamna series pale Merlin na boewolf Zina matukio yakuvutia sana hata kama sio mpenzi wa series za porini unavutiwa nazo lakini sio GOT Kama wewe ni mpenzi mzuri wa series nzuri uwezi kuiita GOT ni best series
Ati tuliza mshono[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]GOT nimeanza kuiangalia mwaka 2014 wakati nimeishiwa series za kuangalia. Bila kushawishiwa na mtu ikawa moja ya series bora kwangu ... mwanzo prison break ilikua inashika namba moja lakini GOT ikaja kushika 1..
Mimi sijawahi kushawishiwa na mtu kupenda series unlike wewe.. na mimi nimeangalia series nyingi sana na nina experience na series kiasi cha kusema GOT ni the best kwangu..
Kama wewe sio nzuri sijakulazimisha uipende na wala sio vita hii.. kama kwako sio nzuri tuliza mshono uendelee kuangalia seriez zako unazoona ni nzuri.
Nimeona wivu masai dada hili busu mwenyewe nimelitamaniPokea busu
Hakuna series ambayo itakuja kuifika GOT labda karne inayofutaGame of thrones umeipendea Nini?
Nitajie vitu vitatu tu ulivyovipenda kwenye hii series na kwanini ni Bora kuliko series zote?Hakuna series ambayo itakuja kuifika GOT labda karne inayofuta